Bei Tshs 414,000,000. Maelewano yapo.
Apartment ina muonekano wa kuvutia. Ukiwa katika hii Apartment unatazama Bahari ya Hindi.
Ina vyumba vitatu vya kulala vyote ni self contained ( Master bedrooms) , subule, jiko la kisasa na mahala pa kula.
Ni nyumba imara inayoweza kumudu mazingira kwa muda mrefu pasipo kufanyiwa marekebisho yasiyo na ulazima wowote
Hii ni Apartment imejengwa kwa malighafi bora, mafundi na wasimamizi bora!Wahi Apartment hii sasa.
Ito floor ya 3, service charge tshs 345,000 kea mwezi.
Inauzwa na furniture zake. Ipo katika jengo lenye lift na genereta. Panga siku na muda wa kuja kuiona.
Mawasiliano +255755312233
View attachment 2176258View attachment 2176257View attachment 2176256View attachment 2176255View attachment 2176254View attachment 2176253View attachment 2176252