SOLD: Tunauza TV, Fridge , Home theatre, Sabwoofer, na vingine kama hivyo kwa BEI POA

Status
Not open for further replies.
Home thieter music system zipo kama zipo bei gani
Ndio zipo , kuna SONY, LG, panasonic ,samsung na kadhalika. Wewe unapendelea brand gani? Na una panga kutumia budget kiasi gani??? Karibu mkuu
 
Habari mkuu hujanijibu swali langu nahitaji home theatre system nzuri sana yenye kutumia Bluetooth watts kubwa
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Niko mbali,ila nataka tufanye biashara.
Nataka jiko la umeme linalotumia umeme kidogo,
 
Niko mbali,ila nataka tufanye biashara.
Nataka jiko la umeme linalotumia umeme kidogo,
Unapata mkuu nicheki tu kwa simu tufanye biashara mkuu .

Ungependelea kama hili?
 
Nipe sifa za haya majiko mkuu
- Yanatumia Umeme Kidogo sana
- Yanadumu,
- bei yake nafuu
- unachagua kiasi cha moto unachotaka na ni rahisi ku control
- hayashiki kutu
- yanadumu kwa muda mrefu
- ni rahisi kuhamishika na kusafishika
 
- Yanatumia Umeme Kidogo sana
- Yanadumu,
- bei yake nafuu
- unachagua kiasi cha moto unachotaka na ni rahisi ku control
- hayashiki kutu
- yanadumu kwa muda mrefu
- ni rahisi kuhamishika na kusafishika
Vyema braza, sasa hiyo kidogo sana ni ipi?
Naomba namba yako basi nikucheki wakati ukifika.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…