Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majiko ya Umeme ya kisasa. Hayatumii umeme mwingi, yanatumia umeme kidogo sana. Bei yake ni 85,000. Karibuni sana![]()
![]()
Sipo dar mkuu,tunafanyaje hapo?Hilo la kawaida ni 90,000 mkuu. Kama upo dar natuma kijana anakuletea chap chap hapo
Karibu sana
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Wenzako wanaofanya matangazo kama haya wanaweka na bei kabisa maana wanajiamini ubora wa bidhaa zao pamoja na convising price. Kitendo cha kuweka namba za simu ili tukuulize hakina afya kabisa kinaondoa kutokujiamini kwako na bidhaa unazotangaza halafuuu!!! unatuwekea instagramu kwani sisi ni Mangekimambi?
Asante kiongozi nitafika dukani hapana shaka.Asante sana mkuu kwa Elimu nzuri. Njoo uchukue bidhaa kwa discount ya staff
Niko mbali,ila nataka tufanye biashara.Kuwekesha ni Kwamba unakuja dukani halafu unachagua kitu ambacho unataka halafu unalipia kidogo kidogo ukimaliza unachukua.. hii ni lazima mtu uje dukani ili tufanye agreement au labda kama ww ni mteja wa mbali ambaye tumeshawahi kufanya biashara.
Kuna wadau kama wawili hvi wa JF walikuja tukafanya hii biashara (ya kuwekesha) wiki mbili zilizopita, naawaomba waje watoe mrejesho Tafadhali
Nipe sifa za haya majiko mkuuMajiko ya Umeme ya kisasa. Hayatumii umeme mwingi, yanatumia umeme kidogo sana. Bei yake ni 85,000. Karibuni sana![]()
![]()
Yeah, bt sijui lina sifa ganiUnapata mkuu nicheki tu kwa simu tufanye biashara mkuu .
Ungependelea kama hili?![]()
- Yanatumia Umeme Kidogo sanaNipe sifa za haya majiko mkuu
Vyema braza, sasa hiyo kidogo sana ni ipi?- Yanatumia Umeme Kidogo sana
- Yanadumu,
- bei yake nafuu
- unachagua kiasi cha moto unachotaka na ni rahisi ku control
- hayashiki kutu
- yanadumu kwa muda mrefu
- ni rahisi kuhamishika na kusafishika