Black fire
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 755
- 1,321
Nakujia muda si mrefu. Plan yangu ya mwezi huu ni kununua mzikimiaka miwili (2 years)
Karibu sana mkuu. Unaweza nicheki tu tukafanya biashara
Vipi aina hii unazo na ni bei gan?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakujia muda si mrefu. Plan yangu ya mwezi huu ni kununua mzikimiaka miwili (2 years)
Karibu sana mkuu. Unaweza nicheki tu tukafanya biashara
Mkuu alibakari hii HDMI ndio nini? Ufafanuzi mkuu inanipiga chengaNimeikubali bei yako iko poa sana, ila swali langu bado hujajibu. Je ina HDMI?
Dah mkuu umedokeza issue muhim sana hebu tupia picha ya deki ya og mkuu utatusaidia sana
Mm ktk kuwekesha ndo pazur ila 2 npo Dodoma bt nachukua namba yako mkuu.Pia tunatoa huduma ya Kuwekesha, yaani unakipenda kitu , then unalipia kidogo kidogo mpaka utakapomaliza unachukua mzigo wako
DSMndio , Uko wapi mkuu
Respect chief.Mkuu bei zinabadilika kika siku. Hapa kesho bei zine change. Mtu akipenda kitu au akiwa anataka kitu ananiuliza tu namwambia bei hadharani hapahapa kwenye Uzi. Kitendo cha wewe kuja kuni attack hapa kuwa sijiamini na bei zangu ni kukosa ustaarabu na adhabu yako nitakuuzia chochote kwa BEI RAHISI sana. Sasa chagua chochote halafu uniambie kwingine bei gani halafu na mm nikupe bei.
Twende kazi
Picha za sabwoofer tafadhaliMkuu sabwoofer zinatofautiana bei.
Kuna za 65,000
85,000
100,000
110,000
Wewe tu useme unataka ipi au aina gani
Ndio mkuu mikoani Tunatuma ila gharama ni ya Mteja na ni 20,000 tu kwa bidhaa zozote maana tunatuma na gari zinazobeba mizigo ya madukani kupeleka mikoani. Au kama ukitaka bus pia tunatuma kwa njia ya bus. Itategemeana na size ya mzigo.Vip mkoani unatuma???
Na gharama ni juu ya nani??
Mkuu utapata , kuna samsung , LG, SONY, Na panasonic. Inategemea wewe unapendelea brand ipi na unapanga kutumia budget ya kiasi gani. Karibu sana mkuuHabari mkuu nitoe shukran kwako kwa kutuelimisha baadhi ya bidhaa feki na og binafs nahitaji home theatre system ya kisasa , iliyo original watts kubwa yenye Bluetooth pia yaan nikiufungulia uonekane mziki haswa, karibu mkuu