SOLD: Tunauza TV, Fridge , Home theatre, Sabwoofer, na vingine kama hivyo kwa BEI POA

SOLD: Tunauza TV, Fridge , Home theatre, Sabwoofer, na vingine kama hivyo kwa BEI POA

Status
Not open for further replies.
miaka miwili (2 years)

Karibu sana mkuu. Unaweza nicheki tu tukafanya biashara
Nakujia muda si mrefu. Plan yangu ya mwezi huu ni kununua mziki
Vipi aina hii unazo na ni bei gan?
IMG_20180226_150951.jpg
 
Dah mkuu umedokeza issue muhim sana hebu tupia picha ya deki ya og mkuu utatusaidia sana


1.Kwanza subwoofer speaker OG ya hio theatre lazma iwe ina hiko kitovu katikati kama unavyoona kwenye hio picha hapo. Ukikuta hakipo lazma itakuwa copy yake ila matoleo yote ya mwanzo yana kitovu.
images (1).jpeg



2.Matoleo yote original ya sony OG hasa ya mwanzoni toka japan, malaysia lazma iwe na stickers za product features juu ya deki. Kama dvd,divx,bluetooth ready n.k ila kwa hizi tunazonunua ziko dated kiasi kwamba huwezi kuta zenye stickers.
Mfano kama hivi:
Screenshot_2018-02-26-15-12-05.png


3. Tatu upigaji wake ni mzuri sana kama unajua mziki mzuri ukoje ukiskiliza tu nyimbo on test hapo dukani utapata ile quality ya sony pamoja na mshindo wa maana.
 
Hiyo TCL 32" bei ya kuuza kiasi gani bosi nataka nimuhonge shemeji yako!
 
Mkuu bei zinabadilika kika siku. Hapa kesho bei zine change. Mtu akipenda kitu au akiwa anataka kitu ananiuliza tu namwambia bei hadharani hapahapa kwenye Uzi. Kitendo cha wewe kuja kuni attack hapa kuwa sijiamini na bei zangu ni kukosa ustaarabu na adhabu yako nitakuuzia chochote kwa BEI RAHISI sana. Sasa chagua chochote halafu uniambie kwingine bei gani halafu na mm nikupe bei.

Twende kazi
Respect chief.
 
Vip mkoani unatuma???

Na gharama ni juu ya nani??
Ndio mkuu mikoani Tunatuma ila gharama ni ya Mteja na ni 20,000 tu kwa bidhaa zozote maana tunatuma na gari zinazobeba mizigo ya madukani kupeleka mikoani. Au kama ukitaka bus pia tunatuma kwa njia ya bus. Itategemeana na size ya mzigo.

Karibu sana Mkuu
 
Habari mkuu nitoe shukran kwako kwa kutuelimisha baadhi ya bidhaa feki na og binafs nahitaji home theatre system ya kisasa , iliyo original watts kubwa yenye Bluetooth pia yaan nikiufungulia uonekane mziki haswa, karibu mkuu
 
Habari mkuu nitoe shukran kwako kwa kutuelimisha baadhi ya bidhaa feki na og binafs nahitaji home theatre system ya kisasa , iliyo original watts kubwa yenye Bluetooth pia yaan nikiufungulia uonekane mziki haswa, karibu mkuu
Mkuu utapata , kuna samsung , LG, SONY, Na panasonic. Inategemea wewe unapendelea brand ipi na unapanga kutumia budget ya kiasi gani. Karibu sana mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom