Mndengereko One
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 340
- 243
Wapendwa
Naingia Mara chache humu kwasababu ya majukumu...Nilitoa namba zangu kwa makusudi ili "serious buyers" wanipigie.
Vinja vya Bunju vimeisha... bado viwanja vichache madale kwa kawawa
Vilivyo jirani na barabara inayopita kwa kawawa;Milion8 na vilivyo kilometer2 mbele toka kwa kawawa milion7
Ikumbukwe, ardhi inapanda kila kukicha..Walio wahi walipata kwa bei nafuu kidogo
Karibu.. nipigie 0762 466 293
naomba kujua bunju darajani ni wapi,,,hiyo beo fixed au negociation
Nipo Dar Es Salaam mkuuu( Ukinihitaji nitafute kwa namba hizi. +255 784 355 775 NA +255762 466 293mkuuu upo wapi
Sorry Wapendwa Mambo n i Mengi huku nakuja mara moja moja Kwa kulitambua hilo niliwekaga namba zangu za simu kwa wenye kuhitaji.. +255 762 466 293 NA +255 784 355 775Bado viwanja vipo???
23mita x 24mita = 552SqmKwa mara nyingine, tunabadilisha matumizi ya mashamba kuwa plot za kujenga.
tulikuwa na shamba bunju Mingoi, Madale kwa kawawa..Na sasa tumeamua kutoa hivi viwanja "Potential area""
Kwa wanao fahamu Madale hapa ni barabarani kabisa, ukitokea center ya filamingo barabara inayotoka Wazo Hill" maarufu kama Njia panda ya Nguzo, nyuma ya Kituo Kipya cha Police (Mita kama mia3 tu!
Tunavyo viwanja vya 23 X 24,) ( 22 X 23,) (21 X 22. NK.( Bei ni kuanzia milioni 13 mpaka 11M kulingana na ukubwa wa kiwanja na uelekeo kilichopo.
Unashauriwa kutembelea maeneo haya kabla ya kujadili bei(Maana unaweza ukakuta tunavitoa kwa bei ya chini kabisa isiyohitaji punguzo..( Experience ina nionyesha hivyo..Kuna mtu juzi aliniambia kwanini unaviuza bei ya kutupa)
Kwa wanaohitaji, tuwasiliane kwa +255 762 466 293 & +255 784 355 775 - Mr MBUNGI
Eneo lipo surveyed limepitishwa kwa ajili ya makaazi,michoro ipo Ardhi).Tutakusaidia kujiridhisha juu ya uhalali wa Vinja hivi..Tupo so cooperative linapokuja suala la kisheria. Ahsante!23mita x 24mita = 552Sqm
Tshs 13,000,000/552Sqm
= Tshs 23,550/Sqm
Mkuu hivi viwanja ni surveyed au??
Eneo lipo surveyed limepitishwa kwa ajili ya makaazi,michoro ipo Ardhi).Tutakusaidia kujiridhisha juu ya uhalali wa Viwanja hivi..Tupo so cooperative linapokuja suala la kisheria. Ahsante!23mita x 24mita = 552Sqm
Tshs 13,000,000/552Sqm
= Tshs 23,550/Sqm
Mkuu hivi viwanja ni surveyed au??
Mkuu weka picha ya hilo eneo itasaidia kuvutia wateja.Kwa mara nyingine, tunabadilisha matumizi ya mashamba kuwa plot za kujenga.
tulikuwa na shamba bunju Mingoi, Madale kwa kawawa..Na sasa tumeamua kutoa hivi viwanja "Potential area""
Kwa wanao fahamu Madale hapa ni barabarani kabisa, ukitokea center ya filamingo barabara inayotoka Wazo Hill" maarufu kama Njia panda ya Nguzo, nyuma ya Kituo Kipya cha Police (Mita kama mia3 tu!
Tunavyo viwanja vya 23 X 24,) ( 22 X 23,) (21 X 22. NK.( Bei ni kuanzia milioni 13 mpaka 11M kulingana na ukubwa wa kiwanja na uelekeo kilichopo.
Unashauriwa kutembelea maeneo haya kabla ya kujadili bei(Maana unaweza ukakuta tunavitoa kwa bei ya chini kabisa isiyohitaji punguzo..( Experience ina nionyesha hivyo..Kuna mtu juzi aliniambia kwanini unaviuza bei ya kutupa)
Kwa wanaohitaji, tuwasiliane kwa +255 762 466 293 & +255 784 355 775 - Mr MBUNGI
Eneo lipo surveyed au hivyo viwanja mnavyouza vipo surveyed? Hebu dadavua kabla hatujafunga safari kuja kuviona maana usawa huu 13M si pesa haba!Eneo lipo surveyed limepitishwa kwa ajili ya makaazi,michoro ipo Ardhi).Tutakusaidia kujiridhisha juu ya uhalali wa Vinja hivi..Tupo so cooperative linapokuja suala la kisheria. Ahsante!
Eneo lipo surveyed..Viwanja ndo tumekata na kupeleka mchoro Ardhi..Eneo lipo surveyed au hivyo viwanja mnavyouza vipo surveyed? Hebu dadavua kabla hatujafunga safari kuja kuviona maana usawa huu 13M si pesa haba!
Ninacho kimoja kimebaki Huko Plot nilizokuwa nazo Mingoi/Opposite na Bunju Mwisho ukitenganishwa na daraja la Mingoi upande wa Bmoyo..20 X20( Nilikuwa navyo 87 vyote vimechukuliwa na watu wanajenga..Hivyo una majirani na pamechangamka sana..Umeme hupo na maji yapo..Ni 2KM kutoka barabara ya Bagamoyo/Dar mkono wa kushoto(Maarufu kama mtaa wa kimele).. Njia kuu ya umeme na barabara mpaka kwenye site.. KARIBU!!vp naweza pata uwanja bajet yangu ni 5ml
vp naweza pata uwanja bajet yangu ni 5ml
Mkuu weka picha ya hilo eneo itasaidia kuvutia wateja.
Ni 20X20M mkuu hapa ni Madale kwa kawawa watangulizi wako wameisha hamia hivyo hutakuwa mpweke(una majirani zaidi ya 40 kwenye plot yetu na wengi wanakaribia kuhamia) hiyo 7M haina dadali(pengine tinge anzia juu.(bado window ya majadiliano ipo japo nikidogo sana)Cha 7m kina ukubwa gani?