Ni mashambani tu hakuna watu wamejenga?Chanzo cha maji ni mto,kuna bwawa kubwa la asili lenye maji muda wote ,hayajawah kukauka,yanatoka mto Ruvu,ukiwa unatokea dar upande wa kushoto ,sio upande wa kwenda Bagamoyo,kama unaenda mzenga,gari linafika mpaka Shambani mkuu
Unapita ile barabara inayopita nje ya kwa Kiluwa Steel?Chanzo cha maji ni mto,kuna bwawa kubwa la asili lenye maji muda wote ,hayajawah kukauka,yanatoka mto Ruvu,ukiwa unatokea dar upande wa kushoto ,sio upande wa kwenda Bagamoyo,kama unaenda mzenga,gari linafika mpaka Shambani mkuu
Watu wamejenga pia mkuu,kuna hadi Shule karibu na apoNi mashambani tu hakuna watu wamejenga?
Ndio unapita barabara hiyo hiyo pemben Kiwanda cha kiluwaUnapita ile barabara inayopita nje ya kwa Kiluwa Steel?
Kutoka shamba hadi mto Ruvu ni umbali gani?
Ndio mkuu unapita bara bara hiyo hiyo ya kiluwa,umbali shamba na mto ni km 1 kati apo ndo kuna ilo bwawa kubwaUnapita ile barabara inayopita nje ya kwa Kiluwa Steel?
Kutoka shamba hadi mto Ruvu ni umbali gani?
Kwa hiyo nitakupa ekari nzima kwa2.5 Chalinze ,itakufaa kabisa mkuu pakuanziaMkuu mimi bado natafuta maisha naomba mkuu unisaidie japo nusu heka kwa laki 3.5 nakuomba
Lakini kama umependa apo sawa pia mkuu njoo pm ,nitakukatia utakavyoMkuu mimi bado natafuta maisha naomba mkuu unisaidie japo nusu heka kwa laki 3.5 nakuomba
Lakini kama umependa apo sawa pia mkuu njoo pm ,nitakukatia utakavyoMkuu mimi bado natafuta maisha naomba mkuu unisaidie japo nusu heka kwa laki 3.5 nakuomba
ndio mkuu halijaishamkuu bado lipo ?
Hiyo picha ya avatar yako nimeipenda bureYaani nikupe namba yangu ya simu si ni sawa na kutumia real name tu? Weka hapa hiyo ramani au nitumie kwenye pm
nakata mkuu ,tuwasiliane pmMku nusu ukati na kama unakata bei inapungua ili tuendelee na mambo mengine ya kujua uhalali wa umiliki wangu
Kuna km 8 toka morogoro road mkuu,kutokea dar unaingia kulia ,upande wenye kituo Cha polisi,na wakaguzi wa Mali asiliKutoka Morogoro road ni kilomita ngapi boss?
Unaingia kulia ukitokea Dar au Morogoro?