Unaanzia kuuza ekari mbili? Au lazima mnunuzi anunue ekari zote?
 
Shamba Hekari saba linauzwa maeneo ya Kibaha Mlandizi. Kila hekari moja inauzwa shilingi milioni mbili. Shimba lipo umbali wa KM 5 kutoka Morogoro Road.

Shamba lipo pembeni ya shule na linafaa kwa makazi, kilimo, ufugaji na viwanda.

Shamba lipo karibu na kiwanda cha Nondo Kiluwa.

Mawasiliano: 0787 891516

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…