uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
- Thread starter
-
- #401
Mlandizi mkuuKibaha ipi?
Karibu mkuu
Nimeweka mkuu,pitia taratibutuwekee na bei mkuu
Sio la shule mkuu,Kuna mipaka kabisa ,imewekwa na halmshauri.mawe yalo.na utajiridhisha pia kwa uongozi was shule na serikali za mtaa,wote wanaijua mipaka
Nimekutumia pm mkuuYah nahitaji kama Kumi hivi, Bei inazungumzika? na je nikitaka kujiridhisha kwa kutemebelea before tufanye Biashara utaratibu upoje?
Inawezekana mkuu,nakuchek
Inawezekana mkuu,nakuchek
Nitumie namba yako pm
Sawa mkuuNitumie namba yako pm
nakucheki mkuu