Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba sehemu mbalimbali Dar na Pwani

Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba sehemu mbalimbali Dar na Pwani

Soma vizuri kiongoz .bei ipo ni Tsh 12,000 kwa sqm .na viwanja vipo vingi na ukubwa tofauti2 ila hiyo bei kwa mita ya mraba
 
Mwaka 2018 nilitapeliwa Happ lolanzi,kumbe eneo lilikuwa la serikali kujenga hospital ,mpaka matofal na mchanga vikapotelea huko,inawezekana vipo ila kuwa makini Happ lolanzi hospital ,? Jipange utalizwa
 
Mwaka 2018 nilitapeliwa Happ lolanzi,kumbe eneo lilikuwa la serikali kujenga hospital ,mpaka matofal na mchanga vikapotelea huko,inawezekana vipo ila kuwa makini Happ lolanzi hospital ,? Jipange utalizwa
Mkuu haukufuta taratibu sahihi za kununua kiwanja .viwanja hiv vimepimwa na kuna document zote .ulitakiwa kuhakiki uhalali wa eneo hilo kabla haujanunua .matapeli wapo kila corner Tz nzima .watu wengi uwa wanakosea kufuata taratibu sahihi za manunuzi .ulitakiwa kuhakiki kwanza kwenye serikali ya mtaa na hata kwa BALOZ wa shina na hata kwa majiran wa eneo husika maana mswahili ataweza kukunyima ugali wake ila maneno atakupa tu ,ungeweza kujua kuhusu eneo hilo hata hivyo ungejilithisha hata halmashauri ya mji kibaha kuhusu hilo eneo na hata kwenda ardhi magogon ili uwe na uhakika wa vumilia kiongozi
 
Viwanja vinauzwa Kibaha mji maeneo ya Lulanzi na msongola Mlandizi, vimepimwa na vina miundombinu ya barabara, umeme na maji ipo.

Vina ukubwa kuanzia sqm 1340 na kuendelea, vipo karibu na hospitali ya mji Kibaha, Lulanzi na pia ni karibu sana na shule ya secondary ya picha ya Ndege na pia siyo mbali kutoka stendi mpya ya mabasi ya mwendokasi na ya mabasi ya mikoani.

For more information contact WhatsApp 0713 95 92 90
 
Viwanja vinauzwa Kibaha mji maeneo ya Lulanzi na msongola Mlandiz .vimepimwa na vina miundo mbinu ya barabara ,umeme na maji ipo .vina ukubwa kuanzia sqm 1340 na kuendelea .vipo karibu na hospital ya mji kibaha,Lulanzi na pia ni karibu sn na shule ya secondary ya picha ya Ndege,na pia cyo mbali kutoka stendi mpya ya mabus ya mwendo kasi na ya mabus ya mikoan.for more inform contact whatsaap 0713 95 92 90
Sijaona bei
 
Tangazo halijakamilika
Hujasema bei kwa sq ni sh ngap
Vp kuhusu Hati miliki kutoka wizarani??
 
Viwanja vinauzwa, vipo Kibaha picha ya ndege, vimepimwa na miundombinu ya barabara, umeme upo. Vina offer. Vipo karibu na hospitali ya halmashauri ya mji Kibaha, pia shamba linauzwa lipo Kisarawe lina hekta moja na nusu. Kwa maelezo zaidi cont 0713 95 92 90

IMG_20240202_170643_022.jpg
 
Viwanja vinauzwa, vipo Kibaha, Lulanzi. Vimepimwa vinafaa Kwa matumizi ya makazi au biashara ya really estate, au unaweza kujenga hata hostel. Vipo karibu na hospital ya Halmashauri ya mji Kibaha karibu shule ya secondary picha ya Ndege, Vimepimwa na vina hati ya miaka 99 vyote. Umeme upo na miundombinu ya barabara zipo. For information cont
0713 95 -92-90
0786-170-900
IMG_20240202_170643_022.jpg
 
Bei kama kariakoo TU.






KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom