Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu haukufuta taratibu sahihi za kununua kiwanja .viwanja hiv vimepimwa na kuna document zote .ulitakiwa kuhakiki uhalali wa eneo hilo kabla haujanunua .matapeli wapo kila corner Tz nzima .watu wengi uwa wanakosea kufuata taratibu sahihi za manunuzi .ulitakiwa kuhakiki kwanza kwenye serikali ya mtaa na hata kwa BALOZ wa shina na hata kwa majiran wa eneo husika maana mswahili ataweza kukunyima ugali wake ila maneno atakupa tu ,ungeweza kujua kuhusu eneo hilo hata hivyo ungejilithisha hata halmashauri ya mji kibaha kuhusu hilo eneo na hata kwenda ardhi magogon ili uwe na uhakika wa vumilia kiongoziMwaka 2018 nilitapeliwa Happ lolanzi,kumbe eneo lilikuwa la serikali kujenga hospital ,mpaka matofal na mchanga vikapotelea huko,inawezekana vipo ila kuwa makini Happ lolanzi hospital ,? Jipange utalizwa
Hayo maeneo ni mazuri sanaElli jitolee kimoja tu
Sijaona beiViwanja vinauzwa Kibaha mji maeneo ya Lulanzi na msongola Mlandiz .vimepimwa na vina miundo mbinu ya barabara ,umeme na maji ipo .vina ukubwa kuanzia sqm 1340 na kuendelea .vipo karibu na hospital ya mji kibaha,Lulanzi na pia ni karibu sn na shule ya secondary ya picha ya Ndege,na pia cyo mbali kutoka stendi mpya ya mabus ya mwendo kasi na ya mabus ya mikoan.for more inform contact whatsaap 0713 95 92 90
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakataa kwa kibaha kiwanja kuuzwa kwa 1B.
Kwanini usiweke details ili nikifunga safari kutoka Mwanza nakuwa nimeshaamua? Weka ukubwa (in sqm), bei, etc.Bei inaanzia million 4 na. Kuendelea .kibaha picha ya Ndege .njoo uvione kiongozi