Chanika, Chamanzi usipasahau , najiulizaga sana kwann unakuta nyumba finished inauzwa 13M ina aluminium na bati , shimo la choo, wengine hadi umeme washaweka,,nauliza kwanini Mbagala ardhi yake haina thamani?
Kwa Daladala unashuka kituo gani?
😃😅Kwa Daladala unashuka kituo gani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unataka ukanunue nyumba ya mil 120 kwa daladala? Duuh
Kwa Daladala unashuka kituo gani?