Plot4Sale Tunauza Viwanja, Nyumba na Mashamba Dar es Salaam
Bora uulize. Kuna mtu anauza nyumba goba milioni 250 ni ya chini, ndogo sqm sijui elfu moja hata elfu 2 hazifiki. Jamani hiyo hela si unanunua kiwanja na unajenga ghorofa la kukutosha tu. Au madalali
Wanatakaga kutajirika hapo ndo maana hampati wateja
Unajikuta nani?!!!
 
Unajikuta nani?!!!
Mbona limekuuma hili kwani we unauza nyumba goba kwa mil 250??? Mi nawaambia raia dalali anaambiwa hii nyumba uza milioni kadhaa ye anaongezea mil 30 zake. Sasa kama wewe haujafanya hivyo si utulie
 
Kiwanja GOBA center (Mbezi GOBA) umbali kilipo Ni dk 7/10 kutokea site Hadi barabara kuu ya Goba Bei ni 6.8M ukubwa wa kiwanja Ni miguu 20x18
Haya mje goba mjenge msiseme sikuwaambia.

0715053339/0719236829
 
Kiwanja GOBA center (Mbezi GOBA) umbali kilipo Ni dk 7/10 kutokea site Hadi barabara kuu ya goba Bei ni 6.8M ukubwa wa kiwanja Ni miguu 20x18
Haya mje goba mjenge msiseme sikuwaambia
0715053339/0719236829

Nb
Hii post umekuja haijakamilika nimeshindwa futa ya kwanza
 
Goba centre unauza kwa miguu? Maana navyojua hko kote kumepimwa.
 
Kiwanja GOBA center (Mbezi GOBA) umbali kilipo Ni dk 7/10 kutokea site Hadi barabara kuu ya goba Bei ni 6.8M ukubwa wa kiwanja Ni miguu 20x18
Haya mje goba mjenge msiseme sikuwaambia
0715053339/0719236829
Kwa GOBA hii bei ni sawa na bure ningekuwa vizuri ningekichukua mimi
 
Back
Top Bottom