Picha?Kiwanja Bei ya Asubuhi!
Kipo Boko chama ukubwa Ni sqm 400 Bei 4milion na kingine sqm 500 Bei 4.5milion vimepimwa,maji na umeme vipo na pameshajengeka
Contact 0715053339
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha?Kiwanja Bei ya Asubuhi!
Kipo Boko chama ukubwa Ni sqm 400 Bei 4milion na kingine sqm 500 Bei 4.5milion vimepimwa,maji na umeme vipo na pameshajengeka
Contact 0715053339
👍Naona majilani hapo
Ujuaji mwiiingi....huna unalolijua. Kacheze unapochezagaKumbe Mkuranga kuna MOROGORO ROAD!
Unajikuta nani?!!!Bora uulize. Kuna mtu anauza nyumba goba milioni 250 ni ya chini, ndogo sqm sijui elfu moja hata elfu 2 hazifiki. Jamani hiyo hela si unanunua kiwanja na unajenga ghorofa la kukutosha tu. Au madalali
Wanatakaga kutajirika hapo ndo maana hampati wateja
Ukishaona ndo utanunua!?Hakuna nyumba hapo labda kama unanunua kiwanja, angeweka na picture/ videos za drones tuone hilo eneo kwa ujumla
[emoji1787][emoji1787]Kwa Daladala unashuka kituo gani?
Mbona limekuuma hili kwani we unauza nyumba goba kwa mil 250??? Mi nawaambia raia dalali anaambiwa hii nyumba uza milioni kadhaa ye anaongezea mil 30 zake. Sasa kama wewe haujafanya hivyo si utulieUnajikuta nani?!!!
Wale wale!Mbona limekuuma hili kwani we unauza nyumba goba kwa mil 250??? Mi nawaambia raia dalali anaambiwa hii nyumba uza milioni kadhaa ye anaongezea mil 30 zake. Sasa kama wewe haujafanya hivyo si utulie
Iko wapi hii hoteli?Ujuaji mwiiingi....huna unalolijua. Kacheze unapochezaga
KibambaIko wapi hii hoteli?
WHAT IS THE APPROXIMATE DIMENSION IN METERSNi miguu 20x18
WHAT IS THE APPROXIMATE DIMENSION IN METERS
Kwa GOBA hii bei ni sawa na bure ningekuwa vizuri ningekichukua mimiKiwanja GOBA center (Mbezi GOBA) umbali kilipo Ni dk 7/10 kutokea site Hadi barabara kuu ya goba Bei ni 6.8M ukubwa wa kiwanja Ni miguu 20x18
Haya mje goba mjenge msiseme sikuwaambia
0715053339/0719236829