Plot4Sale Tunauza Viwanja, Nyumba na Mashamba Dar es Salaam
Hivi hizo Bei mnazitoleaga wapi?
Bora uulize. Kuna mtu anauza nyumba goba milioni 250 ni ya chini, ndogo sqm sijui elfu moja hata elfu 2 hazifiki. Jamani hiyo hela si unanunua kiwanja na unajenga ghorofa la kukutosha tu. Au madalali
Wanatakaga kutajirika hapo ndo maana hampati wateja
 
Location na square meter ndio zina rate bei, unaweza ukawa unanunuwa kiwanja tu na siyo nyumba, unategemea location, ndio utaona mtu ananunuwa nyumba anaibomowa anajenga mjengo wake wakati kuna sehemu vipo viwanja vya bei ya chini.
Sawa ila sio goigi.
 
Hakuna nyumba hapo labda kama unanunua kiwanja, angeweka na picture/ videos za drones tuone hilo eneo kwa ujumla
 
kumbe hizo ndo nyumba za mbezibeach upepo unapovuma!
Mbezi beach kuna East upande wa bahari na west ukivuka Bagamoyo road, imetenganishwa hivyo, au kuna barabara ya old Bagamoyo kupitia kawe beach huko ndiko upepo unakovuma na wala hakuna route ya Daladala njia hiyo ya mbezi chini, kina Jack Ghotham wapo huko, hata Wasafi studio zipo huko.
 
Back
Top Bottom