Nyumba inapangishwa mbezi JUU karibu na Masana hospitali (barabarani kabisa) inavyumba 4 vya kulala vyumba 3 Ni master, jiko, sebule, dinning, publick toilet. Inafence na parking ya gari 3/4 Inafaa pia kwa matumizi ya kibiashara Kama office n.k Bei 700,000 (negociatable)
Contact 0715053339/0719236829
Kiwanja sqm 810 kinauzwa na Banda lake la vyumba vi3 (Kama ionekanavyo pichani) kipo mbezi JUU/Tanki bovu karibu na Masana hospitali Bei Mln 80 (maongezi yapo)
Wakuu anauza lether sofa seti watu3, 2 na 1 (zimetumika miezi 4 Ila bado ziko poa kabisa) Bei laki 4 na nusu zote
TV Aboda nnchi 32 Bei laki 3 na nusu
Fridge Bei laki 2
Kingamuzi complite DSTV elfu 60,000
Vipo Mbezi Goba kwa Sanya
Contact 0715053339/0719236829