Ni hivi vya Chanika vilivyo chini ya VICOBA?Viwanja vya bei poa kuanzia 1,500,000= (Milioni moja na laki tano tu) vinapatikana mbalimbali ya Dar es Salaam
View attachment 236132
Una haki ya kutoa hisia zako Mkuu...lkn wenye hekima hufanya uchunguzi kwanza kabla ya kuhukumu...
Vipo Chanika na Mbezi...
Viko maheneo gani?.Muweshimiwa?Hapana...hivi ni tofauti Mkuu...
weka bei basiviko chanika mitaa ya videte,lubakaya,kibaoni na sangara na mbezi msumi