mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,855
Wewe jamaa mbona square mita hujaweka??
Vina ukubwa gani wewe
Baada ya wiki moja vitakuwepo hivyo kuwa na subira kidogo mkuu
Viwanja bado vipo...na mimi si dalali bali mmiliki...karibu Mkuu
Karibu sana
Miezi minne....kwa kiwanja cha 1,500,000 unaanza na 500,000 kisha 400,000 halafu 300,000 na mwisho 300,000