Nitakutafuta badae au kesho mkuu nashukuru sana ila visiwe tu vya utapeli maana watu wameumizwa sana na hizi ishu nilimpoteza hadi ndugu yangu alitapeliwa kiwanja tegeta
Nitakutafuta badae au kesho mkuu nashukuru sana ila visiwe tu vya utapeli maana watu wameumizwa sana na hizi ishu nilimpoteza hadi ndugu yangu alitapeliwa kiwanja tegeta
Hili nalo neno kwa kweli maana utapeli umekuwa too much.
Karibu sana Mkuu.....vile vya utapeli huwa hawavitangazi hadharani kama hivi....na mara nyingi unakuta ana kiwanja kimoja tu lkn sisi tunatangaza na tuna viwanja vingi maeneo mengi hivyo ondia shaka Mkuu..
Unapatiwa hati ya serikali za mitaa
Hati ya serikali za mitaa si ndio yale yale barabara za kupita mchana unatumia tochi, mvua kidogo hali inakuwa kama hivi
Kiongozi kumbe ni fix tu huna viwanja wala nini?? Nashukuru kwa kunichomesha Mahindi hii leo. Simu zangu hukupokea tena baada ya kunipigia asubuhi na kunielekeza vilipo hivyo viwanja. Sms zangu ukapotezea kujibu.
Asubuhi nilikuwa kanisani hadi saa tano....samahani kama ulinipigia ila viwanja vipo tena vingi tu...nakumbuka uliniahidi kuja saa tisa kuona viwanja ...na mpaka wakati huu unapopost mtu yuko Chanika anakusuburi...si vizyri kulaumu ilhali wewe ndiyo ambaye hujatimiza ahadi..jana pia ulhsubiriwa hivyo hivyo kwa siku nzima....jamani wateja tuharibu kuwa wakweli ili kurahisisha kuhudumiwa...
Jana sikuwa na promise na nyinyi na mimi nilipiga simu hii leo kuwa nakuja huko saa 9 na utanielekeza kuwa viwanja vipo Mvuti na kuniambia kuwa niulize kituo kabla ya darajani huko Mvuti. Nilijitahidi kupambana na jam around saa kumi na nusu nikawa pale Mbande. Nikapiga namba yenu ya Voda zaidi ya mara 7 (angalia missed call kutoka namba hii 0787577755) haikupokelewa. Nikatuma sms 2 zote hazikujibiwa. Now unanijibu kuwa simu ilikuwa kwenye gari, sasa jamaa yangu ulijua kuna promise hiyo why usingeniunga na huyo mtu aliyepo huko kwenye viwanja???
Mkuu ni kweli tulichanganya namba za wateja na hakika tumekusababishia usumbufu mkubwa sana na tunaomba radhi kwa hili..kama nolivyokujulisha sms ni kwamba simu ya voda iliisha chaji ikabaki kwenye gari ikichajiwa tangu saa 11 hadi saa 12 nilipokuja kuitoa na kukuta missed calls zako...Pole sana Mkuu Makbel na familia yako kwa usumbufu...
Unapatiwa hati ya serikali za mitaa