Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

Tafadhali fafanua; toka lini hati za viwanja zinatolewa na serikali za mitaa? Nilidhani hilo ni jukumu la commissioner wa ardhi!!

Usiwe mgeni namna hyo Mkuu...karatasi yoyote inayotambua umiliki ni hati...hata serikali za mitaa hutoa hati...pia zipo hati za kimila zinazotolewa na viongozi wa familia au koo....zote hizo hutambulisha umiliki wa ardhi na zinatambuliwa na serikali...commissioner wa ardhi hawezi kutoa hati kwa maeneo ambayo bado hayajafanyiwa mpango mji(Master Plan) but hati za kienyeji(Local government) na za kimila hutambuliwa na serikali kwa sababu zinakuwa zimetangulia kabla serijali haijalifanyia mpango eneo...ni utaratibu wa kawaida mkuu..
 
 
 
Viwanja bado vipo

Bei sawa na bure

Chanika bei kuanzia 1,500,000/=

Mbezi Msumi bei kuanzia 3,800,000/=

Vipimo ni kuanzia 2756 square feets

(futi 52.5 kwa 52.5 au miguu 20 kwa 20)



PIGA SIMU

0713565999

0767565999

0712780906
 

Attachments

  • RAMANI YA SHAMBA LA MBEZI MAKABE-MSUMI New.jpg
    459.9 KB · Views: 523
Nikitaka kulipia kabisa na sio kwa mkopo bei inapungua na vina ukubwa gani hivyo vya chanika
 
Huo mtaa wa sangara ni kutoka wapi au kwenda wapi ili nipajue fresh na je vmepimwa au badooo.
 
Mbezi msumi ndo mbez ipi

Ukifika mbezi unapanda daldala za Msumi, unaenda unapita njiapanda ya Tabata siyo ya tabata segerea, kuna vituo kama pesa pesa, njipanda ya kavimbilwa, Stakishari hadi huko Goba!
kumetulia usafiri upo wa kutosha.
 
Ukifika mbezi unapanda daldala za Msumi, unaenda unapita njiapanda ya Tabata siyo ya tabata segerea, kuna vituo kama pesa pesa, njipanda ya kavimbilwa, Stakishari hadi huko Goba!
kumetulia usafiri upo wa kutosha.

Asante mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…