Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

Kivipi?Serikali yetu tukufu kwa zaidi ya miaka hamsini sasa toka tupate uhuru imeshindwa kuturahisishia maisha,wewe utawezaje?

Hahahahaa...kumbuka si kila kitu lazima kifanywe na serikali...hata kukuuzia kiwanja cha 3M kwa 1.5M ni kukurahisishia maisha kupita maelezo..
 
Tutajuaje mmiliki halali wa eneo? Kuna vithibitisho vyovyote?
 
Tutajuaje mmiliki halali wa eneo? Kuna vithibitisho vyovyote?

Kabla hatujanunua shamba kwa ajili ya kukata viwanja huwa tunawashirikisha serikali za mitaa hivyo unaweza kwenda kwao na kujiridhisha kuhusu umiliki mkuu...na hata kwenye manunuzi huwa wanathibitisha pia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…