Kwa kweli dar es salaam usafiri umekuwa wa usumbufu sana iwe public transport au own transport, hivyo mimi binafsi kwa wakati huu kutoka na mahitaji yetu, kama nataka kujenga dar es salaam, basi nitatafuta eneo ambalo urahisi wa transport, eneo kama mbezi, kawe,msasani au masaki, transport ni usumbufu, yaani kama unatoka maeneo hayo unaenda posta au kariakoo au airport, utoke alfjir kweli, bila ya hivyo utalala njiani, na prefer zaidi kwa wakati huu,kuishi kama kigamboni, yaani hapo kama kunakuaga na traffic ya magari nachukuwaga baiskeli naburuza kidogo kidogo ukivuka umeingia posta umeingia kariakoo, just 30 mins. Lakini kutoka mbezi hadi posta au kariakoo au eneo lolote la mjini about 2hours.