Tunavumilia tunachoka, hatuna umeme, maji, barabara mbovu, maisha juu, wapo busy na siasa safi

Umeandika takataka, wewe ambaye hata ukinunua bidhaa hudai risiti? Halafu serikali itoe wapi fedha ya maendeleo

Unashinda kwa shemeji Dar na remote nyumbani kwenu umeacha mashamba makubwa yemye rutuba yanaota magugu
what do you have in ur cv?? whats the level of your education??

risiti was mandatory few years back, what happened??

Mashamba with poor roads and water supply?? with no subsides and policies to support farming???

lastly akili huna bro??. kama ni mtu mzima pole sana. usizae use condoms. Tanzania awataki watu kama nyie tena.
 
watanzania tupo peace sana, sio kwamba hatuna akili.
Hatuko peace bali ni wavumilivu wa kuhimili unyonyaji mkubwa kunakochagizwa kwa kuwa na elimu duni, na ukiwa na elimu duni efficience ya kuchukua maamuzi yanayostahili inapungua.
 
it could be. ila people are now well educated. swala la mda tu. kitaumana
 
Inabidi tuprint tisheti za kuikataa CCM , kwa maendeleo ya taifa ,wazo tu, sio lazima tuandamane kwa mabango na kulipuana mabomu, inabidi tutumie akili kuwatoa CCM madarakani, mana wananchi wengi bado hawajitambui.
 
Umeandika takataka, wewe ambaye hata ukinunua bidhaa hudai risiti? Halafu serikali itoe wapi fedha ya maendeleo

Unashinda kwa shemeji Dar na remote nyumbani kwenu umeacha mashamba makubwa yemye rutuba yanaota magugu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji706][emoji706]
 
it could be. ila people are now well educated. swala la mda tu. kitaumana
Hili zao la shule za kata ndo useme ni well educated? Sijaona watu walio well educated lakini naona wimbi la watu wengi walioenda shule+vyeti, lakin education kichwani ni 0.
 
watanzania wengi we are tired, tumechoka sana, . hii SERIKALI ya awamu hii is the worst government ever. EVERYTHING IS BROKEN, BADO SOCIETY TU, 2025 MBALI SANA WE ARE RUNNING OUT PATIENCE.
SOME THING MUST BE DONE.
WE CANT GO ON THIS WAY.

WE NEED THIS GOVERNMENT OUT,
BY ANY MEANS.
WE NEED SAMIA NA GENGE LAKE OUT.
Laana ya Magufuli itawatafuna mpaka mnyooke!
Mkataa chema kibaya kinamuita!
Shw*ne nyie....
 
what do you have in ur cv?? whats the level of your education??

risiti was mandatory few years back, what happened??

Mashamba with poor roads and water supply?? with no subsides and policies to support farming???

lastly akili huna bro??. kama ni mtu mzima pole sana. usizae use condoms. Tanzania awataki watu kama nyie tena.
Babu zetu waliokuwa wanalima tangu enzi ya mkoloni walikuwa na miundombinu gani? Si ndio hao wametusomesha? Ndio hao waliitwa matajiri baadhi yao?

Unasubiri miundombinu ndipo uanze kuishi na kutafuta maisha? Unasubiri serikali ifike mlangoni kwako wewe peke yako katika watu milioni 70?

Roma haikujengwa siku moja, na wakati inajengwa, waroma hawakukaa kusubiri kwanza Roma ijengwe ndio waanze maisha
 
Shida yetu sisi ni keyboard warriors, hatuwezi kufika kama tumekaa chini hatujongei(hatupigi hatua)

Tanzania ya leo ni uzembe wa wazee wetu jana.
Tanzania ya kesho itakuwa uzembe wa vijana wa leo(sisi)
 
Tamanio la mabadiliko katika nchi lazima liwe pulsating desire, burning desire kwa watanzania.
 
watanzania wengi we are tired, tumechoka sana, . hii SERIKALI ya awamu hii is the worst government ever. EVERYTHING IS BROKEN, BADO SOCIETY TU, 2025 MBALI SANA WE ARE RUNNING OUT PATIENCE.
SOME THING MUST BE DONE.
WE CANT GO ON THIS WAY.

WE NEED THIS GOVERNMENT OUT,
BY ANY MEANS.
WE NEED SAMIA NA GENGE LAKE OUT.
Kabisa tumechoka mnooo!
 
Shida yetu sisi ni keyboard warriors, hatuwezi kufika kama tumekaa chini hatujongei(hatupigi hatua)

Tanzania ya leo ni uzembe wa wazee wetu jana.
Tanzania ya kesho itakuwa uzembe wa vijana wa leo(sisi)
Tukikomaa vizuri na keyboard zetu CCM itaporomoka!
 
Si rahisi kama hatutafanya zaidi ya hiyo.. Ccm ina mizizi mirefu na mipana, wezi wa taifa hili wamejijenga vema mnoo, si rahisi rahisi kama unavyofikiri, mtapambana kwenye keyboard watatengeneza skendo diamond shoga nasi watz tulivyo mamburula na umbea tunaupenda ndio imeisha hiyo.

Back
Top Bottom