Sawa lakini keyboard zina nguvu sana si uliona jinsi keyboard zilivyowafikirisha CCM sakata la bandari?Si rahisi kama hatutafanya zaidi ya hiyo.. Ccm ina mizizi mirefu na mipana, wezi wa taifa hili wamejijenga vema mnoo, si rahisi rahisi kama unavyofikiri, mtapambana kwenye keyboard watatengeneza skendo diamond shoga nasi watz tulivyo mamburula na umbea tunaupenda ndio imeisha hiyo.
Fedha ya maendeleo hawana ila ya kulipa wake wa wastaafu wanazo, ajabu sana pamoja na kutokuwa na fedha za maendeleo ila bado wanaishi maisha ya kifahari pamoja na ufisadi juu ila fedha za maendeo tu ndio hakuna.Umeandika takataka, wewe ambaye hata ukinunua bidhaa hudai risiti? Halafu serikali itoe wapi fedha ya maendeleo
Unashinda kwa shemeji Dar na remote nyumbani kwenu umeacha mashamba makubwa yemye rutuba yanaota magugu
Watch yr asshole
Hawajali kabisa kuhusu mtanzania na tanzania kiujumla, wao wanaangalia maslahi yao tu. Nchi yenye uchumi mbovu kama huu ni matusi kiongozi kutembelea gari la milioni mia 4Fedha ya maendeleo hawana ila ya kulipa wake wa wastaafu wanazo, ajabu sana pamoja na kutokuwa na fedha za maendeleo ila bado wanaishi maisha ya kifahari pamoja na ufisadi juu ila fedha za maendeo tu ndio hakuna.
Kipi kilitokea, lao si wamelifanya bila haya.Sawa lakini keyboard zina nguvu sana si uliona jinsi keyboard zilivyowafikirisha CCM sakata la bandari?
we bwege ndio unaitwa "watanzania wengi" We umechoka mwenyewe, kajitundike tu km umechoka usiwaambukize wengine uvivu wako. Huna hata haya unakuja kutuandikia huu upupu. We kweli kwa mwendo huo hutafika 2025. Uongozi unatoka kwa wananchi kwa njia ya kupigiwa kura, km unaona kuna njia nyingine we kajaribu tuone km utafanikiwa.watanzania wengi we are tired, tumechoka sana, . hii SERIKALI ya awamu hii is the worst government ever. EVERYTHING IS BROKEN, BADO SOCIETY TU, 2025 MBALI SANA WE ARE RUNNING OUT PATIENCE.
SOME THING MUST BE DONE.
WE CANT GO ON THIS WAY.
WE NEED THIS GOVERNMENT OUT,
BY ANY MEANS.
WE NEED SAMIA NA GENGE LAKE OUT.
mamako ana habari na matatizo yako?Samia hana habari na matatizo ya wananchi yeye akili yeke yote iko kwenye uchaguzi wa 2025 kama atafanikiwa kuendelea!!! Wananchi hawana budi kuamua kutatua matatizo yao kwa njia wanayoona inafaa. To wait for this government to act is a pipe dream; hawana uwezo kwani wamefikia kikomo cha kufikiri!
we ni kunguru tu nyuma ya keyboardamini swala la mda. the government has lost its purpose.
Kelele zilizofanya mabadiliko hata kama ni kidogo zilitokana na keyboardKipi kilitokea, lao si wamelifanya bila haya.
Kuna watu waliiba wakasema visenti tu.
Kuna watu wakajibu kwa dharau asiyetaka ahamie burundi hao kipi kimetokea?
Jisemee mwenyewe. Hujatumwa kuwasemea Watanzaniawatanzania wengi we are tired, tumechoka sana, . hii SERIKALI ya awamu hii is the worst government ever. EVERYTHING IS BROKEN, BADO SOCIETY TU, 2025 MBALI SANA WE ARE RUNNING OUT PATIENCE.
SOME THING MUST BE DONE.
WE CANT GO ON THIS WAY.
WE NEED THIS GOVERNMENT OUT,
BY ANY MEANS.
WE NEED SAMIA NA GENGE LAKE OUT.
see the comment section, ukiona your not affected ww sio mtanzania mwenzetu. and if your causing it. God makes you pay for itJisemee mwenyewe. Hujatumwa kuwasemea Watanzania