Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Leo nilikuwa nasikiliza BBC World Service.Salaam wakuu.
Hivi majuzi kumetokea vurugu huko nchini Sri Lanka baada ya wananchi kutoka kila nyanja ya maisha kuingia ikulu ya Raisi na makazi ya Waziri Mkuu kuwataka kujiuzuru na hadi wakati huu bado wananchi wanaendelea kukalia makazi na ofisi hizo hadi pale viongozi hao watakapo jiuzuru.
Kwa picha ya kawaida tunaweza sema wale ni wananchi ndio waliofanya au wanaotaka kuitoa madarakani serikali ila ukweli ni kwamba nyuma ya pazia ni kuna mkono wa mfumo na idara za usalama au nguvu toka mataifa ya nje.Wengi mataifa ya Afrika wanajidanya kuwa hata wao kuna siku wanaweza fanaya kama walivyo fanya wananchi wa Sri Lanka ukweli ni kwamba kamwe haiwezi tokea.
N.B
Ukiona Raisi anapinduliwa au anauliwaa ujue kuna mkono wa idara a usalama au mataifa ya nje.
Kuna watu wengi sana wanaopenda kutetea watawala wabovu kwa ujinga wa conspiracy theories za kusema kwamba matatizo ya wananchi yameletwa na mabeberu wa nje, au hata kusema hakuna matatizo kuna njama za mabeberu tu.Rais na familia yake wametawala miaka kibao na wanaishi kwa kuwakebehi wananchi huku wakila raha
Maisha yamekuwa magumu kiasi ambacho hata mafuta ya magari yakakosekana kabisa na hata chakula Hakuna
Sasa ulitaka wale mawe?
Wanechoka na maisha hayo na ujue hawa jamaa wamepigana wengi na wanaona kabisa hakuna raha mbeleni zaidi ya mapinduzi na kupata wengine wa kuongoza nchi
Ila Waziri Mkuu yamemkuta safi sana na bado
Nyie mnafikiri mtakaa maisha hapo kubadilishana Post wale wale miaka 50
Wewe haya umeyajuaje?Kwa picha ya kawaida tunaweza sema wale ni wananchi ndio waliofanya au wanaotaka kuitoa madarakani serikali ila ukweli ni kwamba nyuma ya pazia ni kuna mkono wa mfumo na idara za usalama au nguvu toka mataifa ya nje.Wengi mataifa ya Afrika wanajidanya kuwa hata wao kuna siku wanaweza fanaya kama walivyo fanya wananchi wa Sri Lanka ukweli ni kwamba kamwe haiwezi tokea.
Ingependeza kama angetoa details tuzijadili kwa kina, na si kusema mambo kijumlajumla tu.Wewe haya umeyajuaje?
Ni kipi kinachokufanya usiamini kuwa watu hao wanao uwezo na utashi wa kufanya wanayofanya wao hadi uje hapa kuhoji; na unahoji na kutueleza sisi kwa nia gani?
Siku hizi hata nchi ikipata ukame kwa sababu wananchi wamekata miti, au ikipata tetemeko la ardhi, utaambiwa Mmarekani ana teknolojia ya kuzuia mvua na kutengeneza tetemeko la ardhi, yeye ndiye kafanya mambo hapo!Siyo lazima iwepo nguvu kutoka nje au watu wa usalama tu.
Shit happens!
Na hata ukitazama mwelekeo wa mahojiano uliyoyagusia hapo juu kuhusu ushiriki wa China, chombo hicho cha BBC ni kama kinapalilia nadharia ile ile ya nchi za Magharibi dhidi ya hizi nyingine zinazoibuka, kama China. Ni kama vita baridi inarudi palepale pa zamani.Kuna watu wengi sana wanaopenda kutetea watawala wabovu kwa ujinga wa conspiracy theories za kusema kwamba matatizo ya wananchi yameletwa na mabeberu wa nje, au hata kusema hakuna matatizo kuna njama za mabeberu tu.
Dunia inaendeshwa na geopolitics.
Lakini, rais akijikojolea mwenyewe wakati kalewa huku akitoa hotuba kwa mamilioni ya watu, asisingizie mabeberu.
Na hawawezi kuchoka wkt simba na yanga zipo.Zina kazi maalum hizo team.Wananchi wakiamua lao hakuna linaloshindikana....nyie endeleeni kuwachosha tu wananchi siku wakichoka ndo utajua hujui
Zamani hata Mimi nilikua naamini wananchi wanaweza wakaamka tu huko waliko wakaenda kumtoa rais ikulu.Na hata ukitazama mwelekeo wa mahojiano uliyoyagusia hapo juu kuhusu ushiriki wa China, chombo hicho cha BBC ni kama kinapalilia nadharia ile ile ya nchi za Magharibi dhidi ya hizi nyingine zinazoibuka, kama China. Ni kama vita baridi inarudi palepale pa zamani.
Wananchi wakiamua lao hakuna linaloshindikana....nyie endeleeni kuwachosha tu wananchi siku wakichoka ndo utajua hujui
Sri lanka ni moja ya nchi zinazozalisha mpira (rubber) kwa wingi, inaezekana akina makampuni makubwa ya matairi ndo wanadhamini pambanoSalaam wakuu,
Hivi majuzi kumetokea vurugu huko nchini Sri Lanka baada ya wananchi kutoka kila nyanja ya maisha kuingia ikulu ya Raisi na makazi ya Waziri Mkuu kuwataka kujiuzuru na hadi wakati huu bado wananchi wanaendelea kukalia makazi na ofisi hizo hadi pale viongozi hao watakapo jiuzuru.
Kwa picha ya kawaida tunaweza sema wale ni wananchi ndio waliofanya au wanaotaka kuitoa madarakani serikali ila ukweli ni kwamba nyuma ya pazia ni kuna mkono wa mfumo na idara za usalama au nguvu toka mataifa ya nje.Wengi mataifa ya Afrika wanajidanya kuwa hata wao kuna siku wanaweza fanaya kama walivyo fanya wananchi wa Sri Lanka ukweli ni kwamba kamwe haiwezi tokea.
NB: Ukiona Raisi anapinduliwa au anauliwaa ujue kuna mkono wa idara a usalama au mataifa ya nje.
Kwa maelezo yako una maana Africa hayo au hao wenye mkono hawawezi jitokeza? Mapinduzi ya aina ile yanaweza kutokea popote. Ogopa watu wakifika mahali na kuona kifo ni bora kuliko kuishi.Salaam wakuu,
Hivi majuzi kumetokea vurugu huko nchini Sri Lanka baada ya wananchi kutoka kila nyanja ya maisha kuingia ikulu ya Raisi na makazi ya Waziri Mkuu kuwataka kujiuzuru na hadi wakati huu bado wananchi wanaendelea kukalia makazi na ofisi hizo hadi pale viongozi hao watakapo jiuzuru.
Kwa picha ya kawaida tunaweza sema wale ni wananchi ndio waliofanya au wanaotaka kuitoa madarakani serikali ila ukweli ni kwamba nyuma ya pazia ni kuna mkono wa mfumo na idara za usalama au nguvu toka mataifa ya nje.Wengi mataifa ya Afrika wanajidanya kuwa hata wao kuna siku wanaweza fanaya kama walivyo fanya wananchi wa Sri Lanka ukweli ni kwamba kamwe haiwezi tokea.
NB: Ukiona Raisi anapinduliwa au anauliwaa ujue kuna mkono wa idara a usalama au mataifa ya nje.
Mkuu hapa kwetu Afrika ni ngumu kutokea, unafikiri vyombo vya usalama hawakupata fununu kuwa kuna watu wanatarajia kupindua serikali? kwanin waliamua kukaa kimya? hapo kuna baraka zote toka idara za ndani za usalama na mataifa ya nje na ndio maana unaambiwa NAVY FORCE ndio wanaompa hifadhi huku hawana mpango wa kumrudisha madarakani.Kwa maelezo yako una maana Africa hayo au hao wenye mkono hawawezi jitokeza? Mapinduzi ya aina ile yanaweza kutokea popote. Ogopa watu wakifika mahali na kuona kifo ni bora kuliko kuishi.
Acha kujidanyangay wewe mkuuu kumbe na wewe unawaza ki popoma?Ndoto za vijana wa vijiweni wengi wenye sifa kama za upande nisiopenda kuutaja hapa wana mawazo finyu kuhusu utawala, mambo yanatofautiana kwa mbaaali sana wanayotaka kulinganisha,
ilikuwa rahisi Kumpindua Nyerere, Mkapa na Magufuli lakini siyo Mwinyi, Kikwete wala Samia, japo na nilio wataja waliokuwa rahisi kupinduliwa ni kwa sababu ya Loss of political ventilation ,,,, NAO ISINGEKUWA RAHISI KWA ASILIMIA ZAIDI YA 50 Maana hatujafika wafanya hivo hatua waliyofikia,,,
mode ya kulinda usalama ni tofauti namsifu samia Kila wilaya wapo watu 1260 politely ambao wapo na shughuli zao za kawaida ila wakifanya kazi ya serikali kwa weledi na wengine hawajuani,,
Mpango mwingine ni wa kuweka vituo bubu vya usalama kila mita 500 ndani ya majiji na miji pia kuweka nyumba kadhaa kusiko na miji zikifanya shughuli nyingine tofauti kumbe ni,,,,,,, mama Huyu kaweza hapo ....
Britanicca