Basi bila shaka ni muda na wewe use me jambo kuhusu USA ..Hivi kupigwa kwa waafrika huko Marekani ina halalisha wasiojulika kufanya hivyo apo Tanzania?Jinai haina mwisho,ipo siku hao waliompiga Tl risasi dola itawapata. Lakini hata huko Usa askari wanapiga raia weusi risasi na maandamano kila mara kulaani haya matukio. Kwa hiyo Pompeo haoni hayo?
Kwani mtu akikutania we corona ndio unajiona we corona,kama mtoto bana! Msaliti wa nchi yoyote ile kuuwawa ni principle .Umesahau yule msaliti wa urusi wazalendo walimfuata mpaka Uk na akawekewa polonium.Kulinganisha wapinzani na corona ni lugha nzuri? Kusema Zitto auwawe ni lugha nzuri? Hebu nambie ni extreme zipi zisizovumilika katika lugha ambazo wapinzani walitoa hadi kuhukumiwa kifo? Yale anayosema Tundu Lissu? Yale aliyosema Ben Saanane humu JF?
Au tukukumbushe lugha za Wabunge dhidi ya wapinzani Bungeni ambazo wabunge wa chama tawala wanakenulia meno na spika hakemei? Huo ndio ustaarabu wainzani wanakosa?
Ahaaa, hivyo ndivyo unavyowazawadia wanaokufurahisha? Sio mimi basi. Kama ambavyo siui au kufurahia kuuwawa kwa nisiowapenda kama wewe, ndivyo nisivyozawadia wanaonifurahisha kama unavyofanya na kupendekeza nami pia nifanyeWape ndukum sasa
Kama nani? Wataje usiwe na hisia tu.Kuna watu katika awamu hii ya tano wako very very satanic, na wana tatizo ambalo linaambukiza. Ni watu wa kuogopwa kwa roho yao ya kishetani mno. Na wanajifanya kuwa wacha Mungu wauaji wakubwa hawa wasio na aibu.
Ukiona kimya ujue hakuna kitisho kwa nchi,jichanganye ulete vitisho kwa usalama wa nchi utajua kama wapo au hawapo.Marekani walijua kabisa kwamba kulikuwa na kikosi kilichobatizwa jina la "Wasiojulikana" hapa nchini, kikosi ambacho kilijikita katika kuteka watu na hata kuua. Na Marekani waliona wazi kwamba wahanga wa kikosi hiki cha Wasiojulikana walikuwa ni kutoka vyama vya upinzani pamoja na waandishi na wananchi kwa ujumla walioikosoa serikali. Pia kulikuwa na wafanya biashara wakubwa ambao walionekana kutenda kinyume na matakwa ya serikali,
Na jambo jingine Marekani waliloona wazi ni kwamba siku zote Polisi hawakuonyesha nia ya dhati ya kushughulikia na kupepeleza kesi au matukio yaliyofanywa na hiki kikosi cha Wasiojulikana. Mara nyingone Polisi walitoa matamko ya kuwalaghai na kuwapoteza lengo wananchi pale ilipohusu matukio ya Wasiojulikana.
Ndipo Marekani wakaamua kuingilia na kuwaokoa watanzania walioendelea kuwa wahanga wa kikosi hiki cha Wasiojulikana. Wakatuma ujumbe. Wakatoa onyo.
Tunawashukuru sana Marekani kwa jambo hili. Ni wazi kuingilia kwenu kumeokoa maisha ya Watanzania wengi na kutoa ahueni kubwa. Tunajua watu wegi walikuwa kwenye "hit list" ya hiki kikosi cha Wasiojulikana na kama sio kuingilia kwenu wengi wangeumizwa au kutoweshwa. Lakini bado tunaomba mwende mbali zaidi na kufunua wazi nani waliohusika na kikosi cha Wasiojulikana, na kiliundwa kwa amri ya nani. Damu za waliopota zinatulilia tuwafanyie hilo.
IN the same light, mtu akikuambia wewe dikteta uchwara au raisi wa ovyo basi usimhukumu kifo kama unajua wewe sio dikteta uchwara au raisi wa ovyo!Kwani mtu akikutania we corona ndio unajiona we corona,kama mtoto bana! Msaliti wa nchi yoyote ile kuuwawa ni principle .Umesahau yule msaliti wa urusi wazalendo walimfuata mpaka Uk na akawekewa polonium.
Hao waliokuwa kwenye kikosi cha Wasiojulikana na waliokuwa wanatoa maagizo kwa Wasiojulikana. Au Wasiojulikana ni hisia tu?Kama nani? Wataje usiwe na hisia tu.
Kama nchini kwake kuna uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kwa nini yeye ajifanye msafi. Huo ni unafiki tu. Hata wewe ni mnafiki tu. Ukitaka haki lazima na wewe uwe msafi kwanza.Basi bila shaka ni muda na wewe use me jambo kuhusu USA ..Hivi kupigwa kwa waafrika huko Marekani ina halalisha wasiojulika kufanya hivyo apo Tanzania?
Wataje majina yao bana. Wasiojulikana,hata majambazi hawajulikani na wanaua watu.Hao waliokuwa kwenye kikosi cha Wasiojulikana na waliokuwa wanatoa maagizo kwa Wasiojulikana. Au Wasiojulikana ni hisia tu?
Ueni tena muone makali ya Pompeo! Mmeshafanywa kitu mbaya. Saa hizi mnajikomba kila mkitaka kufanya kitu mnatuma ujumbe kuomba ruhusa au kujieleza. Oooh uchaguzi utakuwa huru. Nani kawauliza? Ni nchi ngapi mmetuma ujumbe kueleza uchaguzi utakuwa huru? Mmezoea kuwafanyia watu kitu mbaya mkifanyiwa nyie kelele nyiiingi!Ukiona kimya ujue hakuna kitisho kwa nchi,jichanganye ulete vitisho kwa usalama wa nchi utajua kama wapo au hawapo.
macson
Sisi tunamshukuru kwa ilo maana tulikua ata ukiona gari tinted ipo nyuma yako..basi lazma uwajulishe ndugu na jamaa.Kama nchini kwake kuna uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kwa nini yeye ajifanye msafi. Huo ni unafiki tu. Hata wewe ni mnafiki tu. Ukitaka haki lazima na wewe uwe msafi kwanza.
Mbowe yupo madarakani tangu 2004, miaka 16 ilyopita na haonyeshi dalili ya kutaka kuondoka.Hatujali lolote ili mradi wanakemea walevi wa madaraka tunawaunga mkono.
Inatia shaka mtu aliyejiunga JF 2010 kua na thinking capacity kama yako, kama utashindwa kutambua ubaya wa mauaji yaliyofanywa na wajerumani una maana gani kuwapondea wasiojulikana?You still need to adjust your thinking. Wajerumani kwa kuwa waliwaua Wayahudi basi leo hii tuamue Wajerumani si watu wazuri?
Nawaongelea wamarekani na namna ambavyo tunawapapatikia kana kwamba wametoka sayari nyingine wakati wanayo madhambi mengi tu.You still need to adjust your thinking. Wajerumani kwa kuwa waliwaua Wayahudi basi leo hii tuamue Wajerumani si watu wazuri?
Duuh hii nchi mbona ya ajabu! Inakuaje na marais wawili kwa wakati mmoja? Au unatania mkuu?Mbowe yupo madarakani tangu 2004, miaka 16 ilyopita na haonyeshi dalili ya kutaka kuondoka.
JPM ataondoka mwaka 2025 muda wake ukifika. Panapo uhai.
Kwahiyo wajerumani wauwawe nao?Inatia shaka mtu aliyejiunga JF 2010 kua na thinking capacity kama yako, kama utashindwa kutambua ubaya wa mauaji yaliyofanywa na wajerumani una maana gani kuwapondea wasiojulikana?
Huyo mwingine ambaye makao yake yapo ufipa, analeta mtazamo mbaya kwa siasa za kiushindani. Akipewa madaraka hali itakuwaje kuhusiana na wengine nao kupata nafasi ya kuongoza?.Duuh hii nchi mbona ya ajabu! Inakuaje na marais wawili kwa wakati mmoja? Au unatania mkuu?