Unaposema nisali kanisani kwangu unamaanisha nisali kanisa gani haswa!?wasio na makanisa rasmi wote ni wa uongo.
sali kanisani kwako kwenye dhehebu lako.
mnakimbilia miujiza, kitu ambacho hakipo.
Hiyo list imeandikwa na Nani!?Listi ya majina ya manabii wa uongo ingia YouTube utaipata ukitaka ya Tanzania,ya east Africa ya Africa au ya Dunia nzima ipo
Wanadamu kwa kulinganisha na maandikoHiyo list imeandikwa na Nani!?
Mungu!? yesu!?au!!!?
Kupitia ishara na dalilisasa ndio swali langu kuwa tunawatambuaje!
makanisa rasmi namaanisha yale madhehebu yanayotambulika katika dini ya ukristo.Unaposema nisali kanisani kwangu unamaanisha nisali kanisa gani haswa!?
Miujiza huwa ni kitu valid: hata Yesu aliifanya: na wapo wanaoifanya pia katika ulimwengu wa sasa.
wapo wanaoifanya kwa kumtumia MUNGU na wapo wanaoifanya kwa kumtumia shetani.
Unamaanisha nini!?
Hakuna muujiza mkubwa kma kuwasiliana apa jf na tupo mbalimbali, kongole maxUnaposema nisali kanisani kwangu unamaanisha nisali kanisa gani haswa!?
Miujiza huwa ni kitu valid: hata Yesu aliifanya: na wapo wanaoifanya pia katika ulimwengu wa sasa.
wapo wanaoifanya kwa kumtumia MUNGU na wapo wanaoifanya kwa kumtumia shetani.
Unamaanisha nini!?
We kanisa lako si limeanzishwa kwa story za miujiza pia...au husomi Biblia. 🤣At least wao wanaenda kuona sio kusimuliwa mtu alitembea kwenye majiwasio na makanisa rasmi wote ni wa uongo.
sali kanisani kwako kwenye dhehebu lako.
mnakimbilia miujiza, kitu ambacho hakipo.
miujiza haipo. wale ni wafanya biasharaWe kanisa lako si limeanzishwa kwa story za miujiza pia...au husomi Biblia. 🤣At least wao wanaenda kuona sio kusimuliwa mtu alitembea kwenye maji
Miujiza ipo mingi sema tumechukulia kawaida kama ndege kupaa angani , Meli kuelea juu ya maji na mizigo mingi, kuwasiliana na mtu yupo anstadarm wewe upo kidimbwi na nk.miujiza haipo. wale ni wafanya biashara
Rais wa Uwongo, Uchawi na Utapeli ni Yule wa Tanganyika Packers Kawe ambaye kwa bahati mbaya hata Jina lake nimelisahau.Kumekuwa na kundi kubwa sana la manabii waliopo katika nchi yetu ya Tanzania. Na imekuwa ngumu sana kutambua watu hawa kama ni manabii wa kweli au la,!
Sijajua kwa watu wenye imani kubwa, hili naliongea mimi mwenye imani ndogo; inapotokea mtu(nabii) anakwambia kitu ambacho kina uhusiano direct na maisha yako au kukwambia kitu flani kitatokea na kitatokea katika njia flani alafu na kweli ikatokea huwa inatakisa sana imani za wengi na kufanya waamini kuwa nabii yule ni wa kweli.
Swali langu ni tunawatambuaje watu hawa (manabii) kwamba yupi ni nabii wa kweli na yupi ni nabii wa uongo!?
naelewa point yako mkuuMiujiza ipo mingi sema tumechukulia kawaida kama ndege kupaa angani , Meli kuelea juu ya maji na mizigo mingi, kuwasiliana na mtu yupo anstadarm wewe upo kidimbwi na nk.
Huko ndio kunaitwa kumjaribu bwana Mungu wako.naelewa point yako mkuu
ila miujiza ninayoongelea hapa ni kama ile kupata utajiri kwa kuombewa