Tunawatambuaje manabii wa uongo?

Tunawatambuaje manabii wa uongo?

Mwasapile

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2020
Posts
214
Reaction score
448
Kumekuwa na kundi kubwa sana la manabii waliopo katika nchi yetu ya Tanzania. Na imekuwa ngumu sana kutambua watu hawa kama ni manabii wa kweli au la,!

Sijajua kwa watu wenye imani kubwa, hili naliongea mimi mwenye imani ndogo; inapotokea mtu(nabii) anakwambia kitu ambacho kina uhusiano direct na maisha yako au kukwambia kitu flani kitatokea na kitatokea katika njia flani alafu na kweli ikatokea huwa inatakisa sana imani za wengi na kufanya waamini kuwa nabii yule ni wa kweli.

Swali langu ni tunawatambuaje watu hawa (manabii) kwamba yupi ni nabii wa kweli na yupi ni nabii wa uongo!?
 
wasio na makanisa rasmi wote ni wa uongo.

sali kanisani kwako kwenye dhehebu lako.

mnakimbilia miujiza, kitu ambacho hakipo.
Unaposema nisali kanisani kwangu unamaanisha nisali kanisa gani haswa!?
Miujiza huwa ni kitu valid: hata Yesu aliifanya: na wapo wanaoifanya pia katika ulimwengu wa sasa.
wapo wanaoifanya kwa kumtumia MUNGU na wapo wanaoifanya kwa kumtumia shetani.
Unamaanisha nini!?
 
makanisa rasmi namaanisha yale madhehebu yanayotambulika katika dini ya ukristo.

miujiza haipo, sema unavosema ila utaitafuta mpaka unapokufa. chapa kazi
 
Unaposema nisali kanisani kwangu unamaanisha nisali kanisa gani haswa!?
Miujiza huwa ni kitu valid: hata Yesu aliifanya: na wapo wanaoifanya pia katika ulimwengu wa sasa.
wapo wanaoifanya kwa kumtumia MUNGU na wapo wanaoifanya kwa kumtumia shetani.
Unamaanisha nini!?
Hakuna muujiza mkubwa kma kuwasiliana apa jf na tupo mbalimbali, kongole max
 
Kumekuwa na kundi kubwa sana la manabii waliopo katika nchi yetu ya Tanzania. Na imekuwa ngumu sana kutambua watu hawa kama ni manabii wa kweli au la,!

Sijajua kwa watu wenye imani kubwa, hili naliongea mimi mwenye imani ndogo; inapotokea mtu(nabii) anakwambia kitu ambacho kina uhusiano direct na maisha yako au kukwambia kitu flani kitatokea na kitatokea katika njia flani alafu na kweli ikatokea huwa inatakisa sana imani za wengi na kufanya waamini kuwa nabii yule ni wa kweli.

Swali langu ni tunawatambuaje watu hawa (manabii) kwamba yupi ni nabii wa kweli na yupi ni nabii wa uongo!?
Rais wa Uwongo, Uchawi na Utapeli ni Yule wa Tanganyika Packers Kawe ambaye kwa bahati mbaya hata Jina lake nimelisahau.
 
Miujiza ipo mingi sema tumechukulia kawaida kama ndege kupaa angani , Meli kuelea juu ya maji na mizigo mingi, kuwasiliana na mtu yupo anstadarm wewe upo kidimbwi na nk.
naelewa point yako mkuu

ila miujiza ninayoongelea hapa ni kama ile kupata utajiri kwa kuombewa
 
Back
Top Bottom