Mwasapile
JF-Expert Member
- Apr 20, 2020
- 214
- 448
Kumekuwa na kundi kubwa sana la manabii waliopo katika nchi yetu ya Tanzania. Na imekuwa ngumu sana kutambua watu hawa kama ni manabii wa kweli au la,!
Sijajua kwa watu wenye imani kubwa, hili naliongea mimi mwenye imani ndogo; inapotokea mtu(nabii) anakwambia kitu ambacho kina uhusiano direct na maisha yako au kukwambia kitu flani kitatokea na kitatokea katika njia flani alafu na kweli ikatokea huwa inatakisa sana imani za wengi na kufanya waamini kuwa nabii yule ni wa kweli.
Swali langu ni tunawatambuaje watu hawa (manabii) kwamba yupi ni nabii wa kweli na yupi ni nabii wa uongo!?