Tunazeeka, ukipata nafasi fanya mambo yako kwa haraka


Maisha hovyo sana
 

Attachments

  • Screenshot_2025-01-11-16-16-13-576.jpg
    146.3 KB · Views: 1
Mkuu, unamaanisha tukitumia AI tunapunguza kufikiria sana? Kwamba ndo kunafanya kuonekana wakubwa tofauti na umri ama una maana gani?
Hapana.. AI itumuke pale unapokosa chakufanya, yaani umegonga mwamba / unapokosa alternative ya jambo lako.

Mfano unatabia ambayo huipendi, na unataka kuiacha ila inashindikana.. hapo unaweza tumia AI kukupa mawazo mbadala wa kuachana na tabia hiyo.

Nadhani nimeeleweka.
 
πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
 
Hapo kwenye 6 umefeli,nikiamua kuzini siwezi zini na nganga ziwa limelala,shavu zimelegea,nitake radhi babu!
 
Wakuu,

Ama kweli miaka inakatika.

Nimekutana na washkaji zangu yaani 80% wana viapra na mvi.

Uzee tayari.

Kijana, ukipata nafasi, fanya mambo yako chap kwa haraka, umri haukusubiri.
Ni kweli mimi mwenyewe bado najishangaa hadi sasa siamini kabisa nikiniangalia kwa kioo kiooo..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…