Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Mhhh!!Shemeji yako kanizidi miaka 10+ lakini tukitembea kama mdogo wangu vile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhh!!Shemeji yako kanizidi miaka 10+ lakini tukitembea kama mdogo wangu vile.
Sina msongo wa mawazouvaaji unachangia sana
na makeup kwenu wanawake
au una msongo wa mawazo wewe?
Babu sema nenoMhhh!!
vile vidude vyenu mnavyojipaka sijui wanja, sijui foundationSina msongo wa mawazo
Make up kiaje?
Kikubwa ni kufa ukiwa umeacha legacy njema katika Taifa/jamii uliyomo..Wakuu,
Ama kweli miaka inakatika.
Nimekutana na washkaji zangu yaani 80% wana viapra na mvi.
Uzee tayari.
Kijana, ukipata nafasi, fanya mambo yako chap kwa haraka, umri haukusubiri.
Sikua nimepakavile vidude vyenu mnavyojipaka sijui wanja, sijui foundation
Am 45yrs, nna mawazoo, naona kabisa siku zakuendelea kuwepo juu ya mgongo wa ardhi zimepungua sana ,zimebakia chache,huenda miongo miwli ijayo itabakia story, maana mwaka 2000 ni juzi tu,leo tayari 2025, kwa maana miaka ishirini na tano ijayo uenda sitokuwepo,
Naogopa kufa,naomba Mungu aniepushe na kifo cha ajali yoyote ile mbaya au la, bora kufa ukiwa usingizini..
Kiukweli maisha ya duniani ni mafupi sana
Maisha hovyo sanaAm 45yrs, nna mawazoo, naona kabisa siku zakuendelea kuwepo juu ya mgongo wa ardhi zimepungua sana ,zimebakia chache,huenda miongo miwli ijayo itabakia story, maana mwaka 2000 ni juzi tu,leo tayari 2025, kwa maana miaka ishirini na tano ijayo uenda sitokuwepo,
Naogopa kufa,naomba Mungu aniepushe na kifo cha ajali yoyote ile mbaya au la, bora kufa ukiwa usingizini..
Kiukweli maisha ya duniani ni mafupi sana.
nakuelewa aiseeSikua nimepaka
Hapana.. AI itumuke pale unapokosa chakufanya, yaani umegonga mwamba / unapokosa alternative ya jambo lako.Mkuu, unamaanisha tukitumia AI tunapunguza kufikiria sana? Kwamba ndo kunafanya kuonekana wakubwa tofauti na umri ama una maana gani?
Unaamkiwa na watoto au watu wazima?nakuelewa aisee
hizi shikamoo anko zinanitesa kwa kweli
Ndani kwenye tundu za pua jeeMvi kwenye ndevu zinanikera kwelii!
watoto wa sekondariUnaamkiwa na watoto au watu wazima?
🙏🏽🙏🏽🙏🏽Hapana.. AI itumuke pale unapokosa chakufanya, yaani umegonga mwamba / unapokosa alternative ya jambo lako.
Mfano unatabia ambayo huipendi, na unataka kuiacha ila inashindikana.. hapo unaweza tumia AI kukupa mawazo mbadala wa kuachana na tabia hiyo.
Nadhani nimeeleweka.
Bora wewe! Mimi jpil nilienda pharmacy yule dada akaniamkia sura imemkomaa kabisa.watoto wa sekondari
sasa hao kama nimewaacha sana si miaka 7 tu
Hapo kwenye 6 umefeli,nikiamua kuzini siwezi zini na nganga ziwa limelala,shavu zimelegea,nitake radhi babu!kweli uwe na pesa tu but pia uwe na nidhamu fulani mfano:
1.usiende kwenye mabaa au mapub ya vijana
2.usivae nguo za vijana
3.uwe unatoka mara moja kwa wiki na utoke na mkeo au wake zako
4.chunga lugha unayotumia kuongea
5.ukitaka kuchepuka vuta mdada wa uhakika,nenda nae mahali pa class ya juu na usiwe na papara kwenye sex,sex kwa utulivu,comfidently na very expertly na tumia kinga maana usimpelekee mkeo au wakezo magonjwa
6.usichukue vibinti kabisa
wanasema kizazi Z kinazeeka haraka kwasababu kinashinda kwenye simuBora wewe! Mimi jpil nilienda pharmacy yule dada akaniamkia sura imemkomaa kabisa.
Nilitamani nimuulize amezaliwa mwaka gani ili nimtajie na mimi wa kwangu atulie.
Ni kweli mimi mwenyewe bado najishangaa hadi sasa siamini kabisa nikiniangalia kwa kioo kiooo..!Wakuu,
Ama kweli miaka inakatika.
Nimekutana na washkaji zangu yaani 80% wana viapra na mvi.
Uzee tayari.
Kijana, ukipata nafasi, fanya mambo yako chap kwa haraka, umri haukusubiri.
Watu kama Niffer, Nai, official lynn, Anjella eti wamezaliwa 2000 lakini ukiangalia miili yao ni mikubwa mnooowanasema kizazi Z kinazeeka haraka kwasababu kinashinda kwenye simu
labda ni kweli