Tunda na Ndaro hawaendani hata kidogo, Tunda hajui thamani yake

Iweee habarisi tunda njoo kwa mtoto wa kihaya omushaija mtoto wa kanyaitodi tule senene na ndizi kutoka bukoba, uje uwaone wakina rweganzira, Rwekubanza na wifi yako kina koku 🀣🀣
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Beauty is in the eyes of the beholder! Huwezi kujua ka Ndaro kanampiga mapigo gani!
 
Beana wa maana unayemtaka ni yupi?
 
Mbona kawaida tu mzee, au kisa jamaa ni comedian??
Comedians wengi bongo hujiweka kinamna fulani ya kutaka kuchekesha muda wote.

Na hata hivyo dem anadate na vijana wenzie, damu changa Gen Z.

Mambo ya kuendana na kutoendana ni mbishe za madem hizo ndo huwa na hizo comment za kipuuzi et couple haijaendana na upuuzi kama huo.

Sisi mabaharia tunampa salute mwamba kwa kuichapa pisi kali, na vijana wengine waige mfano wake haijalishi mionekano yao.
 
Aikooooo! sijapenda ulicho mfanyia ndaro wewe chawa wa WCB πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hata kama huyo ni ndaro mwenyew lakini hujaona picha nyingine aliyovaa suti ukawekaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mpaka uweke hiyo aliyovaa musikiti akiwa kigomaz
 
Mme wa Shilole,alisema amewachia wengine waliendeleze gurudumu, so kijana Ndaro nae ameingia kwenye list ya wanao lisukuma gurudumu aina ya Tunda.

Ila basi basi mademu wengine ni wakuchapa na kutambaa na si kugandiana nao,hasa hawa bongo movies na Slay Queen wa Instagram, kama afanyavyo Vunjabei na Hemed. Halafu kesho ataanza kulialia kwenye Social Networks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…