Tundu A. Lissu amekata tamaa ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Ataendelea kuwa Mwanaharakati Machachari wa Tanzania

Lissu akirudi bongo nitampiga RISASI Mimi mwenyewe, sitanii. Nimeshaandaa magazine za kutosha. Washtue MODS, toa taarifa popote Ila huu ndo ukweli. Hii Vita ni kama 2Pac na Notorious B.I.G ili pande zote zi balance akifa mmoja lazima na mwingine afe. Mfikishie huu ujumbe TUNDU LISSU. Hata asije leo asubiri 2025 akitua nchini tu ndani ya siku 30 lazima tumuondoe. Hii Vita aliyoanzisha imemzidi kimo.MARK MY WORDS.
wewe pimbi unaongea kama una guarantee ya uhai vile
Na mwenzako alifanya hivyo hivyo cha ajabu now yupo mawinguni akiimba pamoja na malaika watakatifu milele aamin!

Hivyo acha vitisho mbuzi,kunywa maji mengiiiiiii halafu relax!
 
Lissu akirudi bongo nitampiga RISASI Mimi mwenyewe, sitanii. Nimeshaandaa magazine za kutosha. Washtue MODS, toa taarifa popote Ila huu ndo ukweli. Hii Vita ni kama 2Pac na Notorious B.I.G ili pande zote zi balance akifa mmoja lazima na mwingine afe. Mfikishie huu ujumbe TUNDU LISSU. Hata asije leo asubiri 2025 akitua nchini tu ndani ya siku 30 lazima tumuondoe. Hii Vita aliyoanzisha imemzidi kimo.MARK MY WORDS.
Wapi Lissu aliposhangilia kifo Cha Jiwe? Au kwa kuwa alitoa taarifa za mapema juu ya kuumwa kwa jiwe ? Hebu wekeni hizo tweet akifurahia ? Jiwe kafa harudi ! Bila Lissu kutoa siri ya kuwa Jiwe ameshashakufa mpaka Leo mngekuwa mnaambiwa bado yupo ofisini kwake anachapa kazi , mnatakiwa mumshukuru sana , mpaka Leo mngekuwa mnalishwa matango pori toka msikitini .
 
Lissu akirudi bongo nitampiga RISASI Mimi mwenyewe, sitanii. Nimeshaandaa magazine za kutosha. Washtue MODS, toa taarifa popote Ila huu ndo ukweli. Hii Vita ni kama 2Pac na Notorious B.I.G ili pande zote zi balance akifa mmoja lazima na mwingine afe. Mfikishie huu ujumbe TUNDU LISSU. Hata asije leo asubiri 2025 akitua nchini tu ndani ya siku 30 lazima tumuondoe. Hii Vita aliyoanzisha imemzidi kimo.MARK MY WORDS.
Bora mara mia umaskini wa kipato kuliko umasikini wa kufikiri! Wewe Baada ya kulipwa buku saba huko Lumumba ukala ugali wa dagaa ndio unakuja kuandika utopolo hku. Lissu sio mara ya kwanza kupigwa risasi akasurvive tena sio moja wala mbili more than fifteen bullets, kabla ya kuandika chochote ukapost embu jaribu kukisoma tena mwenywe
 
Busara na Hekima ya mtu hupimwa nyakati za
1. Taabu/ Mateso/ Majonzi/ Huzuni
2. Nyakati za Furaha/ Raha n.k

Nyakati hizi Tundu Lissu anaweza akadhani anafurahia sana na kusheherekea kifo cha Mh. JPM na kumwongelea awezavyo. But baadaye akija kukaa na kupata akili akiwa ameweka jazba, mihemko na hasira pembeni atagundua makosa yake.

Alikuwa na nafasi nzuri ya kusema amesamehe yote na anawatakia Watanzania pole na maombolezo ya amani. Angeonekana ana busara na roho ya kusamehe/utu.

Ila kuendelea kuipiga mateke na kuimwagia mchanga Maiti ya JPM hakuoneshi kuwa sasa yeye ni Jasiri. Kunaonesha ni dhaifu anayepigana na kiumbe kisicho na uwezo wowote.

Alipaswa atumie wakati huu kwa busara sana kuwausia viongozi wengine namna ya kuishi na Wananchi. Na pia kama kuna sehemu anaamini hakutendewa haki kama angekuwa Mkristo angeachilia tu.

Binafsi sijui Dini ya Tundu Lissu au Dhehebu lake. Nlisoma kisa cha Daudi miaka ya nyuma alipokuwa akitafutwa na Sauli auawe. Nlifuatilia sana ule ugomvi wao kila mara. Mpaka siku ile Sauli ameingia Pangoni alipokuwa amejificha Daudi kujisadia. Daudi angemuua tu na ku claim Ufalme. Hakufanya hivyo.

Nadhani ilitokea kama mara mbili hivi. Daudi alikuwa akimwombea Sauli aishi maisha marefu ili aje aone aibu mwenyewe. Hakutaka kumuua. Mungu alipendezwa na tabia ya Daudi. Na tukumbuke naye alikuwa binadamu alishawahi kukosea mara kadhaa. Hakuwa Malaika.

Tundu Lissu mimi huwa nampenda akiwa kama tu mwanaharakati. Kiuongozi bado sana.hana busara au hekima ya kiuongozi. Hawa hubaki hivi hivi miaka yote. Si watendaji wazuri. Ila ni waongeaji wazuri.

JPM hakuwa mwongeaji mzuri. Hakuwa akivutia kumsikiliza. Binafsi Rais wa mwisho kusikiliza Hotuba zake alikuwa ni Benjamini W. Mkapa. The man was smart upstairs.

Waliokuja wote hakuna aliyekuwa ni good speaker. Ukimsikiliza kikwete ukimsikiliza Magufuli. Lakini Magufuli ilikuwa inawezekana akaamua kufanya kazi flani na akafanya kwa kila namna.ili mradi afanye.

Tundu Lissu kama ngeweza mshauri au angekuwa anashaurika angetulia.afanye siasa ambazo ni matured, sophisticated. Siasa za tweteer na instagram hazitomsaidia.

Ajikite kwenye utatuzi wa matatizo ya Nchi na Wananchi. Aachane na Mashambulizi kwa JPM hayatomsaidia. Mwendazake keshaenda. Yeye asamehe na ku move on.

Najua wafuasi wake mtakuja na matusi pasipo kujadili katika hali ya kumsaidia na kuisaidia nchi. Nashukuru Sikuwahi kuwa Mfuasi wa Dini,Kabila,Mtu,Team wala Chama. Nasimama mimi na uelewa wangu kupima jema na baya.
Bado roho ya chuki na ubaguzi inatawala wafuasi wengi wa marehemu Magufuli.Hawapendi maoni yoyote yasiyosifia maiti.
 
Ndiyo maana JF mods wanakukarabati
 
Simply stupid. If wishes were horses you would definitely own many.
 
Wenzako tunamsikiliza Padri akiongoza sala wewe unaangalia ndege zinazopita kama utamuona Lissu! Tulia tuzike wewe na Lissu mtamalizana kwenu.
 
Vita ya Lissu na Magufuli matokeo ni Lissu yu hai Magu is Dead na bado Mataga wanatembeza mifupa mwanza

Vita ya Lissu na Mataga ndio kwaaza imeanza na wala haitachukua raundi Lissu anaibuka kidedea

lisu anapigana na upepo,baada ya kichapo cha oct 2020,sasa kichapo cha kupuuzwa kinafuata.

bro pitia dharau zote ila sio kupuuzwa.
 
Lissu akirudi bongo nitampiga RISASI Mimi mwenyewe, sitanii. Nimeshaandaa magazine za kutosha. Washtue MODS, toa taarifa popote Ila huu ndo ukweli. Hii Vita ni kama 2Pac na Notorious B.I.G ili pande zote zi balance akifa mmoja lazima na mwingine afe. Mfikishie huu ujumbe TUNDU LISSU. Hata asije leo asubiri 2025 akitua nchini tu ndani ya siku 30 lazima tumuondoe. Hii Vita aliyoanzisha imemzidi kimo.MARK MY WORDS.
Jifunze kusamehe
 
Uko sahihi sana ndugu yangu
Busara na Hekima ya mtu hupimwa nyakati za
1. Taabu/ Mateso/ Majonzi/ Huzuni
2. Nyakati za Furaha/ Raha n.k

Nyakati hizi Tundu Lissu anaweza akadhani anafurahia sana na kusheherekea kifo cha Mh. JPM na kumwongelea awezavyo. But baadaye akija kukaa na kupata akili akiwa ameweka jazba, mihemko na hasira pembeni atagundua makosa yake.

Alikuwa na nafasi nzuri ya kusema amesamehe yote na anawatakia Watanzania pole na maombolezo ya amani. Angeonekana ana busara na roho ya kusamehe/utu.

Ila kuendelea kuipiga mateke na kuimwagia mchanga Maiti ya JPM hakuoneshi kuwa sasa yeye ni Jasiri. Kunaonesha ni dhaifu anayepigana na kiumbe kisicho na uwezo wowote.

Alipaswa atumie wakati huu kwa busara sana kuwausia viongozi wengine namna ya kuishi na Wananchi. Na pia kama kuna sehemu anaamini hakutendewa haki kama angekuwa Mkristo angeachilia tu.

Binafsi sijui Dini ya Tundu Lissu au Dhehebu lake. Nlisoma kisa cha Daudi miaka ya nyuma alipokuwa akitafutwa na Sauli auawe. Nlifuatilia sana ule ugomvi wao kila mara. Mpaka siku ile Sauli ameingia Pangoni alipokuwa amejificha Daudi kujisadia. Daudi angemuua tu na ku claim Ufalme. Hakufanya hivyo.

Nadhani ilitokea kama mara mbili hivi. Daudi alikuwa akimwombea Sauli aishi maisha marefu ili aje aone aibu mwenyewe. Hakutaka kumuua. Mungu alipendezwa na tabia ya Daudi. Na tukumbuke naye alikuwa binadamu alishawahi kukosea mara kadhaa. Hakuwa Malaika.

Tundu Lissu mimi huwa nampenda akiwa kama tu mwanaharakati. Kiuongozi bado sana.hana busara au hekima ya kiuongozi. Hawa hubaki hivi hivi miaka yote. Si watendaji wazuri. Ila ni waongeaji wazuri.

JPM hakuwa mwongeaji mzuri. Hakuwa akivutia kumsikiliza. Binafsi Rais wa mwisho kusikiliza Hotuba zake alikuwa ni Benjamini W. Mkapa. The man was smart upstairs.

Waliokuja wote hakuna aliyekuwa ni good speaker. Ukimsikiliza kikwete ukimsikiliza Magufuli. Lakini Magufuli ilikuwa inawezekana akaamua kufanya kazi flani na akafanya kwa kila namna.ili mradi afanye.

Tundu Lissu kama ngeweza mshauri au angekuwa anashaurika angetulia.afanye siasa ambazo ni matured, sophisticated. Siasa za tweteer na instagram hazitomsaidia.

Ajikite kwenye utatuzi wa matatizo ya Nchi na Wananchi. Aachane na Mashambulizi kwa JPM hayatomsaidia. Mwendazake keshaenda. Yeye asamehe na ku move on.

Najua wafuasi wake mtakuja na matusi pasipo kujadili katika hali ya kumsaidia na kuisaidia nchi. Nashukuru Sikuwahi kuwa Mfuasi wa Dini,Kabila,Mtu,Team wala Chama. Nasimama mimi na uelewa wangu kupima jema na baya.
 
Lissu alikuwa anashindana na Tume ya Magufuli

Iwepo Tume huru uone kama Lissu haingii Ikulu asubuhi tu

ikulu hata wewe ukitaka unaingia.ila katiba inasema rais lazina achaguliwe na wananchi wengi zaidi kwenye uchaguzi mkuu.

sio ambaye atapewa likes nyingi zaidi twitter.
 
Ndio maana tunalilia Tume huru halafu iwapo ccm itashinda tunawapa mkono wa pongezi

Kila washinde kihalali wanaogopa nini?
 
Back
Top Bottom