Pre GE2025 Tundu Antipas Lissu, Rais Tanzania 2025-2035, Mungu Hapingwi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Atakayepingana na Maono haya no dhahiri anapingana na Allah, Muumba wa Vitu Vyote. Sifa za Rais wetu mpya
Epuka usije rushiwa majini ww.🤣🤣🤣 hapo nimetania tyu
1. Mpenda Haki - Anahakikisha Kuna uhuru wa mawazo, maoni, Mahakama kuwa Huru, Polisi kutenda Haki,
nani asiyependa haki?
2. Kufuta Kabisa Uchawa- Rais huyu mpya atafuta uchawa na kusifia Kila kitu na mtu mwenye madaraka. Kitu ambacho kinaitafuna Jamii yetu ya Tanzania Kwa Sasa.
yaezekana hujui tu ginsi dunia inavyofanya kazi. nasema hilo juu:no point
3. Kuondoa Rushwa - matumizi makubwa ya Fedha za umma kutoa Rushwa ya vyeo Kwa watu wote wakiwemo wasanii imeharibu Jamii yetu kabisa.
Sawa kabisa. Tunaanza na ndani mwetu CHADEMA. Hivi kumbe Trump kutoa nafasi kwa wasanii ni rushwa? Zelensky ni msanii pia😅 acha utani bana, ndio🤣🤣🤣🤣
4. Kuchagua Viongozi Bora - sio viongozi tu Kwa sababu zisizo eleweka, Rais Lissu ni mtu Mwema na Ni mtu alieletwa na Mungu kuikomboa Tanzania.
yani unasema Mh Lissu ni kiongozi bora kuliko Cheaman FAM ww
Mh. Lissu anaowema na Familia yake tyu. Na kila mtu aliletwa na Mungu.
Dhana ya kwamba Lissu is Divine, ni very hopeless. Kwani hawezi kuwa bora kama viongozi wengine?
Kwakuwa Serikali ya chama tawala wamekita mizizi yao Kila sehemu, na mada kama hizi huwachukiza,
wachukizwe tyu, sie CHADEMA nae tupo kila mahali.
ila naamini Mungu ataonesha Makuu yake Ifikapo mwisho mwa mwaka huu.
hajaonyesha bado?
Kwa mara ya Kwanza Upinzani utaongoza nchi.
Be realistic mazee/labda vyeo vya huruma na vya kushinikizwa.
Maisha yataendelea
Yanaendelea
, ila top level ya juu ya serikali itakuwa na watu wengine tofauti, na si kutoka Mbinguni
👆🤏👉halafu hapo hapo unasema Mh.Tundu Lissu ni mpango wa Mungu. Mawe😇
au Rwanda Bali ni hapa hapa Tanzania na wengine ndani ya serikali hii hii.
mkuu it has been three something years. get a grip, bado tu JPM atusumbue hv?

Hakuna waarabu serikalini, hakuna wahabeshi serikalini ama Wahindi, Wairan n.k n.k mpaka uwaone wa Rwanda tu. Narudia. It has been three years. Get a grip. Hiyo sio vita yetu CHADEMA, waachie Wazungu na Vibaraka wake na Mafisadi.
 
Atakayepingana na Maono haya no dhahiri anapingana na Allah, Muumba wa Vitu Vyote. Sifa za Rais wetu mpya
1. Mpenda Haki - Anahakikisha Kuna uhuru wa mawazo, maoni, Mahakama kuwa Huru, Polisi kutenda Haki,

2. Kufuta Kabisa Uchawa- Rais huyu mpya atafuta uchawa na kusifia Kila kitu na mtu mwenye madaraka. Kitu ambacho kinaitafuna Jamii yetu ya Tanzania Kwa Sasa.

3. Kuondoa Rushwa - matumizi makubwa ya Fedha za umma kutoa Rushwa ya vyeo Kwa watu wote wakiwemo wasanii imeharibu Jamii yetu kabisa.

4. Kuchagua Viongozi Bora - sio viongozi tu Kwa sababu zisizo eleweka, Rais Lissu ni mtu Mwema na Ni mtu alieletwa na Mungu kuikomboa Tanzania.

Kwakuwa Serikali ya chama tawala wamekita mizizi yao Kila sehemu, na mada kama hizi huwachukiza, ila naamini Mungu ataonesha Makuu yake Ifikapo mwisho mwa mwaka huu. Kwa mara ya Kwanza Upinzani utaongoza nchi. Maisha yataendelea, ila top level ya juu ya serikali itakuwa na watu wengine tofauti, na si kutoka Mbinguni au Rwanda Bali ni hapa hapa Tanzania na wengine ndani ya serikali hii hii.
Urais wa Tundu Lissu ni hatua za kuikana mizimu ya taifa hili iliyotupambania vita vya majimaji na MALENGO MAKUU YA JMT.....

#Nchi Kwanza!
 
Tundu Lissu huyu huyu kibaraka wa makuwadi akina Robert Amsterdam.......

Acheni dhihaka kwa JMT!

#Taifa kwanza!
 
Mbona ilishatabiriwa kitambo tu na aliyekuwa mtabiri maarufu nchini, africa mashariki na kati. Itakua suprise mama hatoamini.
 
Utabiri koko....

Babu yangu mtabiri maarufu ameniambia kuwa "Saatu Khabar" zinaonyesha kuwa UTAWALA BADO NI WA MWANAMKE mpaka hapo "ubuluu wa anga" utakapoondoka 2030.....
 
Kiuhalisia CCM IPO Kila Kona, na Lissu anafahamika Kila Kona. Halaf Nimegundua Watanzania wanajua makosa ya serikali , pia Nimegundua Watanzania wengi ambao ni wapiga kura ni Neutral hawana chama, wakiitwa mikutano ya ccm wanaenda ya Chadema wanaenda.

CCM mwaka huu lazma waachie nchi
But it will never happen, be prepared mentally, you will be okay
 
Duh CCM ukiwaonyesha hivi mawakala wa upinzani watatekwa mpaka maji wayaite MMA
 
Atakayepingana na Maono haya no dhahiri anapingana na Allah, Muumba wa Vitu Vyote. Sifa za Rais wetu mpya
1. Mpenda Haki - Anahakikisha Kuna uhuru wa mawazo, maoni, Mahakama kuwa Huru, Polisi kutenda Haki,

2. Kufuta Kabisa Uchawa- Rais huyu mpya atafuta uchawa na kusifia Kila kitu na mtu mwenye madaraka. Kitu ambacho kinaitafuna Jamii yetu ya Tanzania Kwa Sasa.

3. Kuondoa Rushwa - matumizi makubwa ya Fedha za umma kutoa Rushwa ya vyeo Kwa watu wote wakiwemo wasanii imeharibu Jamii yetu kabisa.

4. Kuchagua Viongozi Bora - sio viongozi tu Kwa sababu zisizo eleweka, Rais Lissu ni mtu Mwema na Ni mtu alieletwa na Mungu kuikomboa Tanzania.

Kwakuwa Serikali ya chama tawala wamekita mizizi yao Kila sehemu, na mada kama hizi huwachukiza, ila naamini Mungu ataonesha Makuu yake Ifikapo mwisho mwa mwaka huu. Kwa mara ya Kwanza Upinzani utaongoza nchi. Maisha yataendelea, ila top level ya juu ya serikali itakuwa na watu wengine tofauti, na si kutoka Mbinguni au Rwanda Bali ni hapa hapa Tanzania na wengine ndani ya serikali hii hii.
Hahahahahahaha ama kweli hii JF ina watoto wengi!! Lile tumbo ndo litampeleka ikulu?
 
Genuine question: Kuna interview moja nilisikia amesema yeye anataka uenyekiti wa chama na Mbowe anaweza kuwa presidential candidate. Vipi, hilo limeshabadilika?

Kumradhi kama hili swala lilishazungumziwa na limenipita.
Mbowe hafai kugombea urais. Hajui kuchachuka yule ana soni usoni .TAL anafit
 
Back
Top Bottom