Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

Mbowe anaumwa miguu atazunguka vipi wakati bado hajapona?


eti kabla ya tundu lissu kuja tz walifanya mkutno wakiwa wamevaa barakoa alafu wakaenda kumpokea bila barakoa daaah vyama vingine bana
 
Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu Watumishi wa Umma ikiwemo Madaktari, Malimu na Vyombo vya Dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.

Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma kulingana na maisha ya sasa yalivyo.

Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
Jamaa kaishi ulaya kwa ugonjwa, alichokileta ni kunyoa kiduku na kuiga mishahara ya 'ulaya'. Sijui kwa nini ulaya anaitaja kama nchi moja? Nchi zote za ulaya hazilipi mishahara kwa wiki sasa yeye anaiga wapi sijui.
 
Huo mshahara wako wa mwezi si uu ache huko benki halafu uchukue kila wiki? Kwani ni mpaka raisi akupangie matumizi?

..nadhani hujaelewa.

..mshahara unaweza kulipwa kila wiki, kila baada ya wiki mbili, au kila mwezi.

..nyinyi watu wa ccm kazi yenu kupinga kila kitu, hata mawazo mazuri yanayotolewa na vyama mbadala.
 
Huyu shoga anawaza ndoa za jinsia moja atatuambia nini
 
mkuu ni mipango tu hakuna kinachoshidikana mfano serikali ikijipanga vizuri kwenye bahari ya indi tu huko kuna utajiri wa kutosha wa kuweza fanya wafanyakazi wetu kuishi maisha kama ya pepon na je tz kuna vyanzo vingapi vya kuingiza mpesha mpaka tuseme haiwezekani

KILA ANAYEWAMBA NGOMA ANAVUTIA KWAKE,
 
Back
Top Bottom