Distinction
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 745
- 395
Sisiem ikiangushwa mimi ntakuja kuvua nguo hapa......mwisho wa ccm ni 2100, na kabla ata awau ya sita haijafika utakua ushazimia kwa roho mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisiem ikiangushwa mimi ntakuja kuvua nguo hapa......mwisho wa ccm ni 2100, na kabla ata awau ya sita haijafika utakua ushazimia kwa roho mbaya
Hajaleta ufumbuzi wa atakavyo litatua maana anaongea tu...Tz hii kila kitu hakiwezekani. WHY?
..Yeye katoa changamoto watumishi wa serikali walipwe vizuri.
..sasa ni jukumu letu kama nchi kutafuta njia za kutimiza lengo hilo, siyo kujikunyata na kukata tamaa eti haiwezekani.
..kwani nchi na serikali zinazolipa vizuri, na kwa wakati, watumishi wa umma zina, kitu gani zaidi yetu waTanzania?
Hajaleta ufumbuzi wa atakavyo litatua maana anaongea tu.
Haiwezekani kwa sababu yeye mwenyewe anawaza utegemezi sasa atawezaje ilihali ameonyesha dhamila yake ya kukubli kila litakalosemwa na mzungu tuna mtaka mtu kama magufuri ambaye amekataa ujinga wa kuelezwa kuwa kujenga bwawa rufiji ni uharibifu wa mazingira,wakati lisu angesema tumesaini makubaliano huyo hafai...kulipa watumishi kila mwisho wa mwezi ni mazoea tu.
..kama zipo fedha za kulipa mwisho wa mwezi haiwezekani zikosekane za kulipa kila wiki.
..wakakuwepo watumishi watakaolipwa kila wiki; kila baada ya wiki mbili; wenye mishahara minono watalipwa mwisho wa mwezi.
Haiwezekani kwa sababu yeye mwenyewe anawaza utegemezi sasa atawezaje ilihali ameonyesha dhamila yake ya kukubli kila litakalosemwa na mzungu tuna mtaka mtu kama magufuri ambaye amekataa ujinga wa kuelezwa kuwa kujenga bwawa rufiji ni uharibifu wa mazingira,wakati lisu angesema tumesaini makubaliano huyo hafai.
Mawazo mapya yaendane na uchumi wa nchi mtu ambaye ameshindwa kukipa chama chake ushauri wa kuwa na makao makuu yenye hadhi anawezaje kuendesha nchi...kama inawezekana kulipa mishahara kila mwezi, vivyo hivyo inawezekana kulipa kila wiki.
..kwenye hoja hii tuache kuishi kwa MAZOEA, tuwe tayari kupokea mawazo mapya.
Mawazo mapya yaendane na uchumi wa nchi mtu ambaye ameshindwa kukipa chama chake ushauri wa kuwa na makao makuu yenye hadhi anawezaje kuendesha nchi.
Wewe umesema kuwa anamawazo mbadala kuhusu kuendesha nchi sasa hayo mawazo kwanini hasingeyapeleka huko kwenye ujenzi wa ofisi,jua kwamba kiongozi bora anaanzia nyumbani kwake lakini huyu ndio maana akapewa uwanasheria wa chama maana anajua kutetea na si kuongoza,tukimpata rais wa aina ya tundurisu tutakuwa na mabushloyer wengi,kuliko watendaji na unatakiwa uelewe nchi nyingi zimeendelea baada ya kuwa na kiongozi anyetumia kichwa kuliko kitabu...Serikali inaweza kulipa watumishi wake kila mwezi.
..kwa msingi huo ina uwezo wa kulipa baadhi ya watumishi hao kila wiki.
..hoja ya makao makuu ya CDM haina mashiko. kwani majengo ya kifahari ya CCM yanamsaidia nini mwananchi wa kawaida?
Wewe umesema kuwa anamawazo mbadala kuhusu kuendesha nchi sasa hayo mawazo kwanini hasingeyapeleka huko kwenye ujenzi wa ofisi,jua kwamba kiongozi bora anaanzia nyumbani kwake lakini huyu ndio maana akapewa uwanasheria wa chama maana anajua kutetea na si kuongoza,tukimpata rais wa aina ya tundurisu tutakuwa na mabushloyer wengi,kuliko watendaji na unatakiwa uelewe nchi nyingi zimeendelea baada ya kuwa na kiongozi anyetumia kichwa kuliko kitabu.
- Senior ofisa wa serikali analipwa 1,870,000 gawanya hiyo hela Kwa 4 weeks
- Toa kodi 1870000-433000
- Toa mkopo benki X 14337000-412000
- Take Home yake 1,025,000 igawe Kwa wiki 4
Atakuwa analipwa 256250 Kwa wiki
Mimi nakueleza wazi kuwa hii mishahara inayolipwa kwa mwezi ina makusudio yake kutokana na tabia za nidhamu ya pesa ya kiafrika.
- Senior ofisa wa serikali analipwa 1,870,000 gawanya hiyo hela Kwa 4 weeks
- Toa kodi 1870000-433000
- Toa mkopo benki X 14337000-412000
- Take Home yake 1,025,000 igawe Kwa wiki 4
Atakuwa analipwa 256250 Kwa wiki
Wewe utaitwaje unaendesha familia vizuri wakati nyumba kujenga imekushinda maana yake huna mawazo mazuri...chama kuwa na ofisi za kifahari hakuna mahusiano yoyote na kuendesha uchumi wa nchi vizuri.
..ccm imeanza kuwa na maofisi na magari ya kifahari muda mrefu sana, lakini hiyo haina contribution yoyote ktk kubadilisha hali ya maisha ya waTz.
..waTz tunataka kiongozi anayejali watu, atakayeunganisha waTz, asiye mbaguzi, asiye mkatili, na atakayeleta uongozi wa pamoja.
Wewe utaitwaje unaendesha familia vizuri wakati nyumba kujenga imekushinda maana yake huna mawazo mazuri.
Uwe nacho mara ngapi, yaani hicho ni kiini machoa cha mchana. Jipeni tumaini la fisi kuvizia nyama ya mlevi...Sasa taachaje kumchagua mtu kama huyu na kumchagua mtu aliyekataa kuniongezea mshahara kwa miaka 5 kwa sababu zisizoeleweka.
Labda niwe na cheti cha Mirembe ndipo nimchague Mwana CCM
Mbona mbishi mfano ninapowaambia kuwa lisu ni wakili amezoea kutetea waalifu na kwenye hoja zake anadhani ukiwa rais unaweza kutetea kila kitu anawazungumzia mashekh wa uhamsho sasa anajifanya anamlaumu rais wakati suala la usalama wa nchi ni kamati ya taifa ya ulinzi na usalama wao ndio wanakushauri mfano kule kibiti au yanayotokea msumbiji utasema tufuate sheria,huyo anaomba kura ili aingie madarakani hana tofauti na na yule wa ivory coast ambaye baada yakusaidiwa kuingia madarakani na ufaransa leo amegeuka na kungangania madalakani...siyo kweli.
..masuala ya familia ni tofauti sana na masuala ya kikazi.
Mbona mbishi mfano ninapowaambia kuwa lisu ni wakili amezoea kutetea waalifu na kwenye hoja zake anadhani ukiwa rais unaweza kutetea kila kitu anawazungumzia mashekh wa uhamsho sasa anajifanya anamlaumu rais wakati suala la usalama wa nchi ni kamati ya taifa ya ulinzi na usalama wao ndio wanakushauri mfano kule kibiti au yanayotokea msumbiji utasema tufuate sheria,huyo anaomba kura ili aingie madarakani hana tofauti na na yule wa ivory coast ambaye baada yakusaidiwa kuingia madarakani na ufaransa leo amegeuka na kungangania madalakani.