Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu Watumishi wa Umma ikiwemo Madaktari, Malimu na Vyombo vya Dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.

Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma kulingana na maisha ya sasa yalivyo.

Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
Huyohuyo apunguze vyanzo vya kodi na huyohuyo aongeze mishahara mara mbili ni kitu hakiwezekani atueleze kwanza ataongezaje mapato kabla ya mshahara .
 
ccm wakiona hii watajidai kupandisha mishahara kipindi hiki hiki cha kampeni pasipo bajeti ili mladi waonekane wanawajali watumishi wa umma.
 
Huyohuyo apunguze vyanzo vya kodi na huyohuyo aongeze mishahara mara mbili ni kitu hakiwezekani atueleze kwanza ataongezaje mapato kabla ya mshahara .
Kodi ikupunguzwa ikawa kodi rafiki hulipwa na wengi zaidi kuliko kodi kubwa isiyo rafiki hupelekea wengi kukwepa kulipa kodi
 
UKABILA,RUSHWA YA NGONO, TEUZI ZA UPENDELEO,AJIRA ZA UPENDELEO NDIO KILIO CHA WATANZANIA WENGI,MAUAJI YA RAIA ,NK MWISHO TAREHE 28/10/2020.
Hata kujirundikia mali kupeleka kila kitu Chato nalo ni Donda ndugu linalowasumbua watanzania wote.
 
Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu Watumishi wa Umma ikiwemo Madaktari, Malimu na Vyombo vya Dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.

Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma kulingana na maisha ya sasa yalivyo.

Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
Oyooo kila wiki nakula salary....daaah aisee then wiki yenyewe ni Friday... Aiseeh TAL KURA YANGU NA YA FAMILIA YANGU NA ZA FAMILIA ZAO NI ZAKO
 
Kutopandisha mishahara hupelekea watumishi wa umma kubuni mbinu za ufisadi kuomba omba Rushwa kutengeneza mazingira ya vipato vya ziada

hakuna mshahara unamtoshaga mtu, we huoni mbowe na kuchukua billion zote za chama bado ameshindwa kumdhamini ata lissu, hata angalau kuzunguka nae
 
Angalia na ubora wa wafuasi, Boss! Na mikoa watokayo. Baadaye utajua malengo ya wafuasi. Kumbuka pia kusoma taarifa ya NBS ili ufahamu demography ya nchi hii ili ujue uwezekano wa kupata kura ngapi. Huo ndo usomi na uelewa.
Pia chadema wanaenda kuandaa katiba mpya ambayo italeta utawala wa kanda providence kama ilivyokuwa kenya South Africa ulaya America ambapo watatawala magavana wa kuchaguliwa, vyeo vya wakuu wa mikoa vitafutwa kutakuwa na meya wa kuchaguliwa, Taifa litaenda kubadilka kwenda na wakati
 
mwisho wa ccm ni 2100, na kabla ata awau ya sita haijafika utakua ushazimia kwa roho mbaya
Awamu hii ya pili ya John Pombe Magufuli inaenda kuijenga CCM kuwa imara kwa miaka mingine 100 hata wasipopiga kampeni.
Anayetaka kuelewa ataelewa
 
hakuna mshahara unamtoshaga mtu, we huoni mbowe na kuchukua billion zote za chama bado ameshindwa kumdhamini ata lissu, hata angalau kuzunguka nae
Mbowe anaumwa miguu atazunguka vipi wakati bado hajapona?
 
Awamu hii ya pili ya John Pombe Magufuli inaenda kuijenga CCM kuwa imara kwa miaka mingine 100 hata wasipopiga kampeni.
Anayetaka kuelewa ataelewa
Hakuna atakayeelewa kila kitu kupelekwa chato
 
Hivi vyeo vya RC katibu tawala ni vyeo vya kuchezea pesa za walipa kodi vifutwe mara moja wabakie angalau wakuu wa wilaya wawe chini ya meya wa kuchaguliwa siyo RC wa kuteuliwa kwenda kumwamrisha RPC kuwafanyizia wapinzani.
 
Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu Watumishi wa Umma ikiwemo Madaktari, Malimu na Vyombo vya Dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.

Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma kulingana na maisha ya sasa yalivyo.

Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
Mfumo safi sana wa kulipwa kwa wiki ,mambo ya kusubiri siku 30 ni nyingi sana!! Kwa wiki mishahara itakuwa inakutana!! Tena iwe mshahara walipe Alhamis!

Nitahamasisha watumishi wa umma wachage chadema ,wachague maisha bora mshahara mara mbili sio mchezo.
 
Kodi ikupunguzwa ikawa kodi rafiki hulipwa na wengi zaidi kuliko kodi kubwa isiyo rafiki hupelekea wengi kukwepa kulipa kodi
Mbona kipindi cha kikwete ilikuwepo kodi rafiki lakini hakuna ambaye alikuwa anapeleka mwenyewe mpaka wafuatwe,duniani kote kodi ulipwa kwa shinikizo ndio maana ulaya hata ukinunua kitu kidogo lazima ulipe kodi kupitia mifumo ya kielektronik ambayo ni ngumu kujua kama unakatwa kodi kama yalivyo mafuta apa tz,sasa mtu unaropoka tu mishahara ya leo kwa wafanyakazi wote ukilipa mara 2 maana yake kwamba itaitaji tillioni 1.4,hapo bado uendeshaji wa shughuli za kila siku na miladi ya maendeleo pia kumbuka kuwa katika ahadi zake nyingi hazitekelezeki yeye anaongea tu hajui urais si uwakili wa kutetea mtu hata kama ni mwizi au uanaharakati ambao mtu unatafuta Mani kaonewa,urais ni kitu kingine kabisa lazima mtu uwe 50/50
 
kutopandisha mshahara haimaanishi utaendelea kuishi poor, its also a strategy akili zako zkiwa zpo vizuri inakua ni opportunity kwako! kuhusu uwekezaji just shut the hell up , ni vile tu haijakamilika ila chunga huo mdomo

..kaka tulikuwa tunaenda vizuri lakini naona umetumia lugha ngumu kidogo.

..kutokupandisha mishahara kwa Jpm kumesababisha maisha kuwa magumu.

..tunahitaji utawala utakaopandisha mishahara RESPONSIBLY bila kusababisha mfumuko wa bei, na hicho ndicho CDM wanakwenda kutupatia.

..Jpm amekuwa ktk usukani kwa miaka 4 sasa, kama hatuoni uwekezaji uliofanyika ktk utawala wake, then he has to go.

..Tunahitaji kuleta utawala mpya utakachochea uwekezaji wa muda mfupi, wa muda wa kati, na wa muda mrefu.
 
Kwasababu wewe ni mara ya kwanza unataka kuingia,tutakupa kura mana huyu bwana ametudanganya sana hata aongee vipi mpaka kupiga push up kama mwaka 2015, mwaka huu atakuwa anajifurahisha tu.Hatutaki mtu anaeona yeye ni bora kuliko wenzio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma kulingana na maisha ya sasa yalivyo.
Kwa bajeti ipi?
 
Back
Top Bottom