CCM mna mawazo gani mapya kuhusu mishahara? Au bado mnaendelea na utaratibu ulioachwa na Richard Turnbull?Mshahara wa kila wiki hauna maana na ni mawazo ya kijinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM mna mawazo gani mapya kuhusu mishahara? Au bado mnaendelea na utaratibu ulioachwa na Richard Turnbull?Mshahara wa kila wiki hauna maana na ni mawazo ya kijinga
Vyombo vya dola hivi hivi anavyovichafua kilakukicha?Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu Watumishi wa Umma ikiwemo Madaktari, Malimu na Vyombo vya Dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.
Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma kulingana na maisha ya sasa yalivyo.
Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
Nashukuru kwa kuniunga mkono hoja. Hao 25% wanaokosa si ndiyo kama hapa kwetu? Lakini pia uchumi wa Marekani unalinganisha na wetu?Acha kudanganya watu hapa Marekani kila mwezi inazalisha ajira zaidi ya 200,000 kila mwezi hyo ni sawa na ajira million moja na laki mbili kwa mwaka ukiangalia wasomi inaozalisha kwa mwaka ni kati ya 1.6 na 1.8 million kwa mwaka kama unajua hesabhu kidogo maana yake wasomi wa Marekani zaidi ya asilimia 75% wanaajiriwa , sasa hapa kwetu tunaajiri asilimia ngapi ya wahitimu wetu?.
Ulaya gani huko watu wanalipwa kwa wiki? Huyu jamaa kukaa ulaya kwa miaka mitatu tu kama mgonjwa ndio anajiona anaijua Ulaya vizuri, ha ha ha.
iko ivi, ukitaka watu wafaidi ela walionayo hautakiwi kuongeza mishahara bali unatakiwa uongeze uwekezaji kwenye nchi, tuseme leo unaweza kununua chungwa 100 , the reason inauzwa ivi ni kwa sababu ndo uwezo level kwa wananchi wote! ukipandisha mshahara chungwa halitauzwa tena 100 bali na lenyewe litapanda to the level ya uwezo wako, mwisho wa sku unakua unapandisha mshahara bei znapanda unapandisha na bidhaa ivo ivo, then the economy dies. ili pesa iwe na heshima yake lazima uchukue pesa nyingi kwenye mzunguko ili wafanya biashara washushe bidhaa zao apo sasa ndo unakuta mtu ana side biznez anakua juu ya uwezo wa maisha! leo hii mtu canada ama USA analipwa mpaka mil 100 lakini kodi ni 60%, ina maaana unabaki na 40%, then hio 40% bado kulipia nyumba na vitu vingine vote so unakuta unabaki na deni, so ina maaana ukibaki na $100 wewe ni fogo sana maaana ni adimu kua nayo! ndo uchumi unavotakiwa kua, cdm sasa tatizo elimu
Eti "wenzetu" ha ha ha. Hebu taja basi hizo nchi za hao "wenzako".
Amina Amina MkuuSasa taachaje kumchagua mtu kama huyu na kumchagua mtu aliyekataa kuniongezea mshahara kwa miaka 5 kwa sababu zisizoeleweka.
Labda niwe na cheti cha Mirembe ndipo nimchague Mwana CCM
Sifanyi upumbavu wa kumchagua mwana CCM mimiAmina Amina Mkuu
Nakuelewa Mkuu,unless uwe umerukwa na akiliSifanyi upumbavu wa kumchagua mwana CCM mimi
..inatakiwa uwe BALANCED.
..unakosea unapodai unatakiwa uwalazimishe wafanyabiashara washushe bei.
..ukifanya hivyo maana yake unakwenda kuwafilisi na uwekezaji unapungua.
..kuna wakati wa kupandisha mishahara, na kuna wakati wa kuondoa fedha za ziada ktk mzunguko.
..inaelekea Jpm anajua kuondoa fedha kwenye mzunguko, hana habari na kuongeza mishahara.
Ni ngumu sana kwa kila vijana wanaohitimu vyuo waajiriwe,kila mwaka kuna wahitimu wengi sana katika vyuo tofauti tofauti wooote waajiriwe kweli.??Kwa kweli swala la vijana wa nao jitahidi na masomo, wana hitimu vyuo halafu hakuna ajira mpya kwa miaka5 ni Janga kwa taifa zaidi ya tunayo lichukulia.
Lissu chukua nchi irudi kwenye mstari.
#NIYEYE #LISSURAIS2020
yes inakua balanced lakini sio kwa jinsi cdm wanatafsiri kwamba kila miaka mitano pandisha watu vyeo apo apo pandisha mshahara, hio haiwezekani! kwa mfano mwaka huu toka umeanza shilingi ya tanzania ndo pesa pekee iliobaki one road na usd so apo hakuna haja ya kupandisha lakini uwekezaji ungekua mkubwa means watu wanaofanya biashara wangekua above the normal expected economic place, tuseme ungekua unauza mazao nje ungekua na bonus ya pesa kwa dollar, means uko extra juu ya mstari na ndo jinsi inatakiwa
AhahahahahaNakuelewa Mkuu,unless uwe umerukwa na akili
Asisahau katiba mpya. Tuaihitaji fasta.Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu Watumishi wa Umma ikiwemo Madaktari, Malimu na Vyombo vya Dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.
Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma kulingana na maisha ya sasa yalivyo.
Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
Tupo tulioishi ulaya. Kuna wafanyakazi wanalipwa kila siku na siyo vibarua. Wengine hulipwa mwanzo wa mwezi kabla ya kufanya kazi (annuity due wage system).Ulaya gani huko watu wanalipwa kwa wiki? Huyu jamaa kukaa ulaya kwa miaka mitatu tu kama mgonjwa ndio anajiona anaijua Ulaya vizuri, ha ha ha.
Huo muda wa kuwaelewesha hawa vilaza bora ukajichue tu mzee baba.Tupo tulioishi ulaya. Kuna wafanyakazi wanalipwa kila siku na siyo vibarua. Wengine hulipwa mwanzo wa mwezi kabla ya kufanya kazi (annuity due wage system).
Kwani mshahara dabo kwa watumishi laki sita itakuwa bei gani?,maana haizidi trilion 1,hizo hizo pesa zitaenda kw wafanyabiashara,zitafunguliwa grocery nyingi pombe itanyweka sana,barmaid watapata mshahara mzuri,watapeleka watoto shule,watanunua chakula na hivyo wakulima kuneemeka,mbuzi zitachinjwa,mishikaki italija sana,wauza nyanya,vitunguu za kachumbali,hoho,karoti watauza sana KOTE HUKO SERIKALI ITAKUSANYA MAPATO trilion hadi tano kwa mwezi.Kamanda mwambie atueleze vyanzo vya mapato vya kulipa mishahara dabo hahahaha
Kuwaongoza nyumbu ni jambo rahisi sana hahahahha