Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.[emoji1752]wanaokopesha watumishi kwa riba bye bye
Iweke hapa hiyo clip wasije mataga wakabisha
 
Mabadiliko ya kweli na maendeleo, tutayapata CCM ikishapigwa chini.
Lakini siyo CCM ya JPM labda ya kusadikika. Wananchi wanaangalia matokeo walichoshwa na story za kila mara ahadi tuuuuu, kingine akina Zitto Kabwe wanaenda kuhujumu Vyanzo vya Mapato ili kuihujumu Serikali iliyopo Madarakani eti wakitekeleza watapata sifa CCM mawazo ambayo ni ya kipumbafu,
 
Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
Anageuza wafanyakazi kuwa vibarua!!!
 
Kwanza atasemaje?? Ataleta ajira, ataongeza mishahara? Anainua uchumi?? Nani atamwamini tena?

Atawaambia ananunua ndege mpya kwa cash na kujenga madaraja uchwara, njaa zenu mbaki nazo hazimuhusu, hawezi kuwapa uhuru kupitia katiba mpya ili mumtawale, yeye ni yesu tosha nchi hii.
 
Hakuna serikali iliyoajiri wasomi wake duniani. Hata Marekani imeshindwa.

Serikali inatakiwa ijenge mazingira ya uwekezaji ili kuzalisha ajira ili hao wasomi wapate ajira popote.

Lisu atawaajiri madaktari na walimu wote nchini? Watafanya kazi gani?
Acha kudanganya watu hapa Marekani kila mwezi inazalisha ajira zaidi ya 200,000 kila mwezi hyo ni sawa na ajira million moja na laki mbili kwa mwaka ukiangalia wasomi inaozalisha kwa mwaka ni kati ya 1.6 na 1.8 million kwa mwaka kama unajua hesabhu kidogo maana yake wasomi wa Marekani zaidi ya asilimia 75% wanaajiriwa , sasa hapa kwetu tunaajiri asilimia ngapi ya wahitimu wetu?.
 
Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu watumishi wa umma ikiwemo madaktari, walimu na vyombo vya dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.

Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza mishahara kwa watumishi wa umma kulingana na maisha ya sasa yalivyo.

Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
Jiwe ajiandae kisaikolojia.. atafute kazi ingine tuu
 
Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu watumishi wa umma ikiwemo madaktari, walimu na vyombo vya dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.

Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza mishahara kwa watumishi wa umma kulingana na maisha ya sasa yalivyo.

Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
"Ongeza sauti baba" tumeteseka miaka mitano, tuliomba nyongeza ya mishahara anasema tusubiri Hadi amalize ujenzi wa miundombinu huku tukifa njaa,tukishindwa kusomesha watoto wetu,tukishindwa kujiendeleza kimasomo. Kipele kimepata mkunaji.ameua vyama vya wafanyakazi na havina sauti.
 
Badala ya kuelezea mipango yake kwamba hiyo pesa ataipata kutoka vyanzo vipi vya mapato, anaongelea kutumia!
Na nyinyi mnashangilia!
Kweli kuongoza chadema ni raha
Yote utayasikia kampeni ikianza so wacha kiherehere.
 
Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu watumishi wa umma ikiwemo madaktari, walimu na vyombo vya dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.

Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza mishahara kwa watumishi wa umma kulingana na maisha ya sasa yalivyo.

Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
Tatizo ni NECccm
 
LISSU BWANA, ANAFURAHISHA SANA, MISHAHARA MARA 2 YA SASA? NA HAO WABUNGE WAKE ATAWALIPAJE? MWALIMU ANAYECHUKUA MIA 7 APEWE 1400, JE NA YULE ANAYELIPWA MILIONI 7 ATAPEWA 14?
 
Acha kudanganya watu hapa Marekani kila mwezi inazalisha ajira zaidi ya 200,000 kila mwezi hyo ni sawa na ajira million moja na laki mbili kwa mwaka ukiangalia wasomi inaozalisha kwa mwaka ni kati ya 1.6 na 1.8 million kwa mwaka kama unajua hesabhu kidogo maana yake wasomi wa Marekani zaidi ya asilimia 75% wanaajiriwa , sasa hapa kwetu tunaajiri asilimia ngapi ya wahitimu wetu?.
Achana naye chizi baridi huyo.
Alipo hapo kapanga ila kodi anamlipia shemeji yake
 
Hata kama hakuna ajira Serikali iwape mikopo yenye riba ndogo wale ambao watakuwa tayari kuungana ili kujiajiri kufanya shughuli mbali mbali za kimaendeleo.

Siyo tu kuwaambia graduates kutoka familia za kimaskini wajiajiri wakati hawana mtaji wa kujiajiri.
Naongezea nyama aboreshe kilimo chenye tija alete vifaaa vya kisasa vya kilimo pembejeo ,mbolea ,wataalamu masoko yapo mbona raha naiona mwenzenu mimi
 
Back
Top Bottom