Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu watumishi wa umma ikiwemo madaktari, walimu na vyombo vya dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.

Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza mishahara kwa watumishi wa umma kulingana na maisha ya sasa yalivyo.

Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.[emoji1752]wanaokopesha watumishi kwa riba bye bye
 
Sasa ni wakati wa kuijenga Tanzania yenye furaha .

Kwanza abadili Mfumo wa Elimu.
Kila binadama mwenye akili timamu ana kipaji alichopewa na Mwenyezi Mungu.
Mfumo wa Elimu wa Kikoloni uliletwa kwa mahitaji ya Watawala na Matajiri kupata Watumwa au Watumishi wa Leo. Watawala ambao ni wakoloni weusi leo wanatumia Mfumo ule ule wa wakoloni kwa kutawala na kupata wasaidizi wa kutawala .
Kodi ya wananchi kwa % kubwa inatumika kwenye kuimarisha utawala na miundombinu ya kiutawala tu lakini sio kupambana na umaskini wa watu na kuibua vipaji vya watoto wa kiafrika ili kuleta Maendeleo ya kweli na ajiri inayotoka kwa watu wenyewe sio kuletewa ajira na wachina huku wao wakiwa manamba .

Mfumo wa Elimu ubadilike mana sio kila binadamu ameumbwa ili aajiriwe awe Mhasibu,au daktari,au Injinia au mwalimu au askari.
 
Ulaya gani huko watu wanalipwa kwa wiki? Huyu jamaa kukaa ulaya kwa miaka mitatu tu kama mgonjwa ndio anajiona anaijua Ulaya vizuri, ha ha ha.
Duuu Tundu sasa azime mitandao kabla ya kudanganya umma . Ulaya gani anayosema watu wanalipwa Kwan week. Yes wapo watu wanalipwa weekly kama wenye kazi za kuunga unga kama agency workers watu wengi waajiriwa na serikali wanalipwa monthly . Tanzania hatuna kazi zinazoweza kufanya watu waanze kulipwa Kwan mfumo huo otherwise ajenge viwanda kwanza maana yake afuate nyayo za Magu ajenge viwanda vinginevyo hayo anayosema ni ndoto. Huyu Jamaa naona alijibanza kwa masela anaepiga shift akajua ulaya nzima ni wapiga shift? ☹️ .kidogo angesema watu walipwe per hour production inaongezeka ambayo nayo ni changamoto kwa utamaduni wa mwafrica . Otherwise nimkumbushe kama alikaribishwa na wasela wa shifts ulaya yote si watu wa shifts na inabidi Tundu aujenge uchumi wetu kwanza Ili ussuport copy and paste maana naona kila kitu anataka aishi kama bwana wale
 
Magufuli hawezi kujibu hili... Na litamuweka chini..

Ahsante Lissu.
 
Duuu Tundu sasa azime mitandao kabla ya kudanganya umma . Ulaya gani anayosema watu wanalipwa Kwan week. Yes wapo watu wanalipwa weekly kama wenye kazi za kuunga unga kama agency workers watu wengi waajiriwa na serikali wanalipwa monthly . Tanzania hatuna kazi zinazoweza kufanya watu waanze kulipwa Kwan mfumo huo otherwise ajenge viwanda kwanza maana yake afuate nyayo za Magu ajenge viwanda vinginevyo hayo anayosema ni ndoto. Huyu Jamaa naona alijibanza kwa masela anaepiga shift akajua ulaya nzima ni wapiga shift? ☹ .kidogo angesema watu walipwe per hour production inaongezeka ambayo nayo ni changamoto kwa utamaduni wa mwafrica . Otherwise nimkumbushe kama alikaribishwa na wasela wa shifts ulaya yote si watu wa shifts na inabidi Tundu aujenge uchumi wetu kwanza Ili ussuport copy and paste maana naona kila kitu anataka aishi kama bwana wale
Unakataa harafu unakubali. Ukiwa ccm akili huwa zinaenda wapi?
 
Sasa ni wakati wa kuijenga Tanzania yenye furaha .

Kwanza abadili Mfumo wa Elimu.
Kila binadama mwenye akili timamu ana kipaji alichopewa na Mwenyezi Mungu.
Mfumo wa Elimu wa Kikoloni uliletwa kwa mahitaji ya Watawala na Matajiri kupata Watumwa au Watumishi wa Leo. Watawala ambao ni wakoloni weusi leo wanatumia Mfumo ule ule wa wakoloni kwa kutawala na kupata wasaidizi wa kutawala .
Kodi ya wananchi kwa % kubwa inatumika kwenye kuimarisha utawala na miundombinu ya kiutawala tu lakini sio kupambana na umaskini wa watu na kuibua vipaji vya watoto wa kiafrika ili kuleta Maendeleo ya kweli na ajiri inayotoka kwa watu wenyewe sio kuletewa ajira na wachina huku wao wakiwa manamba .

Mfumo wa Elimu ubadilike mana sio kila binadamu ameumbwa ili aajiriwe awe Mhasibu,au daktari,au Injinia au mwalimu au askari.
Unemaliza yote. Bajeti ya Magu na genge lake ni inafika bajeti ya mikoa mitano ya wananchi. Hapo tunazungumzia genge moja bado yapo mengi.
 
Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.[emoji1752]wanaokopesha watumishi kwa riba bye bye
Lissu kama navyomjua hajawahi kukosa target kwenye mambo yake.

Na hili nalo atalitimiza. MUNGU AMTANGULIE
 
Back
Top Bottom