Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Matatizo na changamoto tunazopitia sisi wananchi zimeletwa na ccm na si wengineo na tusitegemee kuisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana. Duniani tulikuja kwaajili ya kufurahia maisha na si kuishi kitumwa
Niyo kulipwa kwa wiki mi ndo nataka ije hata keshoMgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu watumishi wa umma ikiwemo madaktari, walimu na vyombo vya dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.
Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza mishahara kwa watumishi wa umma kulingana na maisha ya sasa yalivyo.
Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu watumishi wa umma ikiwemo madaktari, walimu na vyombo vya dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.

Ulaya gani huko watu wanalipwa kwa wiki? Huyu jamaa kukaa ulaya kwa miaka mitatu tu kama mgonjwa ndio anajiona anaijua Ulaya vizuri, ha ha ha.
Wale wa kenya au wa ubelgiji mkuu?Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu watumishi wa umma ikiwemo madaktari, walimu na vyombo vya dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.
Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza mishahara kwa watumishi wa umma kulingana na maisha ya sasa yalivyo.
Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
Maana yake kiongozi wetu nae ni........sasa na hivyo vyuma
Sasa kama amehudhuria mkutano huo nae anahusika
Naam ,ninaamini hivyo piaMabadiliko ya kweli na maendeleo, tutayapata ccm ikishapigwa chini.
Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu watumishi wa umma ikiwemo madaktari, walimu na vyombo vya dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.
Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza mishahara kwa watumishi wa umma kulingana na maisha ya sasa yalivyo.
Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
Bado hato kua na mvuto hiyo itakua danganya danganya ili apewe kula Mimi lisu nampigia kuraHahaha Magufuli alivyo na akili anaweza kuanza kulipa mishahra mara mbili kuanzia tarehe 1/9/20.
Msije tu mkasema kakopi sera za Chadema.