Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

hapa ndipo jamaa anazidi kuonekana chizi anaehitaji msaada wa haraka, we unadouble mishahara wa watu si watu watadumbukia kwenye umaskini ambao ndo unakua ule wa zimbabwe, wanasiasa wengine bana ni shida juu ya matatizo wacha amalize siasa zake uchwara arudi belgium
 
Umeona eh! Eti mtu anatoa kauli kwamba atahakikisha matajiri wanaishi kama mashetani!!! Ili nafsi yake ifurahi! Kuna watu jamani roho zao zimejaa kutu duh!

umesahau huyo huyo ndo alimsema vibaya baadae akamsafisha
 
Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu watumishi wa umma ikiwemo madaktari, walimu na vyombo vya dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.

Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza mishahara kwa watumishi wa umma kulingana na maisha ya sasa yalivyo.

Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
👏👏👏👏👏
 
Back
Top Bottom