Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

Badala ya kuelezea mipango yake kwamba hiyo pesa ataipata kutoka vyanzo vipi vya mapato, anaongelea kutumia!
Na nyinyi mnashangilia!
Kweli kuongoza chadema ni raha
Vyanzo vipo yaani utajiri wote huu tulionao unasema vyanzo vipo wapi kama unaona kizunguzungu kalale
 
Mkuu kuna watu nchi hii serikali inawalipa pesa ndogo hivyo?? Laki tano na tisini tu??

Harafu wanajidai nchi hii ni dona kantri??
Nyingi iyo wengine adi laki unusu alafu ndio mishumaa ya CCM! Wengine vijana wa Lumumba wanalipwa buku saba tu wana kuja kutapika huku jamii forums
 
Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu Watumishi wa Umma ikiwemo Madaktari, Malimu na Vyombo vya Dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.

Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma kulingana na maisha ya sasa yalivyo.

Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
Akiziweza hizi ahadi ni nzuri sana aisee
Vipi ajira kwa vijana sijaona!
 
Tulimchagua 2015 ili kufanya yale aliyosema tumchague kwamba hatatuangusha.

Lakini wakati tunataka afanye yale tunayotaka alisema "HAPANGIWI" na mtu yeyote nini cha kufanya
 
Mkuu,we hutaki kulipwa mara nne kwa mwezi?

iko ivi, ukitaka watu wafaidi ela walionayo hautakiwi kuongeza mishahara bali unatakiwa uongeze uwekezaji kwenye nchi, tuseme leo unaweza kununua chungwa 100 , the reason inauzwa ivi ni kwa sababu ndo uwezo level kwa wananchi wote! ukipandisha mshahara chungwa halitauzwa tena 100 bali na lenyewe litapanda to the level ya uwezo wako, mwisho wa sku unakua unapandisha mshahara bei znapanda unapandisha na bidhaa ivo ivo, then the economy dies. ili pesa iwe na heshima yake lazima uchukue pesa nyingi kwenye mzunguko ili wafanya biashara washushe bidhaa zao apo sasa ndo unakuta mtu ana side biznez anakua juu ya uwezo wa maisha! leo hii mtu canada ama USA analipwa mpaka mil 100 lakini kodi ni 60%, ina maaana unabaki na 40%, then hio 40% bado kulipia nyumba na vitu vingine vote so unakuta unabaki na deni, so ina maaana ukibaki na $100 wewe ni fogo sana maaana ni adimu kua nayo! ndo uchumi unavotakiwa kua, cdm sasa tatizo elimu
 
Ewe mtanzania ichague Chadema ili kuboresha hali ya maisha yako. Na siyo kufanyishwa kazi kama mtumwa halafu hali yako ya kimaisha ikifubaa.

Chadema imejipanga kuhakisha maisha ya mtanzania yanakuwa bora zaidi kwa kufanya yafuatayo endapo itashika dola:-

Wakulima watauza mazao yao mahala popote wanapoona kuna bei nzuri. Ukiritimba na vizuizi vya kinyonyaji kwenye mazao vitaondolewa. Itakuwa ni wajibu wa serikali kutafuta masoko bora ya mazao nje na ndani ya nchi. CCM haiwasaidii wakulima lkn wakivuna mazao yao wanawapangia mahala pa kuuza.

Watumishi watapandishiwa mishahara zaidi na mfumo wa malipo ya mishahara utabadilika na kuwa kwa wiki badala ya mwezi. CCM wamewadhukumu sana watumishi kwa miaka 5 inayomqlizika kwa kuwanyima hata "salary increment" ambayo ipo kisheria.

Wazee wote walio katika sekta isiyo rasmi watalipwa pensheni ya kiwango cha kukidhi maisha yao. CCM kwa miaka 60 wameshindwa kuwathamini wazee hawa pamoja na kuchangia kwa sehemu kubwa ktk ujenzi wa taifa

Serikali mpya itakayoongozwa na Chadema (siyo serikali ya Chadema) itaweka mazingira bora ya biashara kwa kuweka viwango rafiki vya kodi ili kufufua kukuza na kuinua sekta hii. Wafanyabiashara watakuwa rafiki badala ya kuchukuliwa kama adui. CCM wao wanasema wafanyabiashara wataishi kama mashetani".

Serikali itaajiri na itatengeneza ajira za kutosha kwa vijana wanaomaliza ngazi mbalimbali za elimu ili kutimiza malengo na ndoto zao. Siyo kama ccm hawajaajiri vijana miaka yote hii mitano.

Chagua Chadema Kwa Maisha Bora Ya Bila Kufokeana
 
Safi kabisa
 
ni sawa na ahadi ya kuweka mabomba ya kutoa maziwa nchi nzima ni kichaa tu anayeweza kuukubali ujinga wa lissu
 
Mshahara wa kila wiki hauna maana na ni mawazo ya kijinga
 
Mimi hayo hayanihusu najua tu kura yangu kwa CHAUMA, ubwabwa kwenda mbele wananchi tuna njaa
ubwabwa mtamu.jpg
 
Back
Top Bottom