Shida ni ID yako piaShida ni ID yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ni ID yako piaShida ni ID yako
Pesa zipo nyingi amehold magufuli zitachukuliwa na kutumika kwenye nyongeza hiyoKwa bajeti ipi?
Hahaha kweli ajira ni ngumuNyingi iyo wengine adi laki unusu alafu ndio mishumaa ya CCM! Wengine vijana wa Lumumba wanalipwa buku saba tu wana kuja kutapika huku jamii forums
Kamanda mwambie atueleze vyanzo vya mapato vya kulipa mishahara dabo hahahaha
Kuwaongoza nyumbu ni jambo rahisi sana hahahahha
Magu anapata wapi pesa za kujenga hiyo miundombinu yoteee ....!!! Uwe na akili japo kidogo tuu.Badala ya kuelezea mipango yake kwamba hiyo pesa ataipata kutoka vyanzo vipi vya mapato, anaongelea kutumia!
Na nyinyi mnashangilia!
Kweli kuongoza chadema ni raha
Mbona kipindi cha kikwete ilikuwepo kodi rafiki lakini hakuna ambaye alikuwa anapeleka mwenyewe mpaka wafuatwe,duniani kote kodi ulipwa kwa shinikizo ndio maana ulaya hata ukinunua kitu kidogo lazima ulipe kodi kupitia mifumo ya kielektronik ambayo ni ngumu kujua kama unakatwa kodi kama yalivyo mafuta apa tz,sasa mtu unaropoka tu mishahara ya leo kwa wafanyakazi wote ukilipa mara 2 maana yake kwamba itaitaji tillioni 1.4,hapo bado uendeshaji wa shughuli za kila siku na miladi ya maendeleo pia kumbuka kuwa katika ahadi zake nyingi hazitekelezeki yeye anaongea tu hajui urais si uwakili wa kutetea mtu hata kama ni mwizi au uanaharakati ambao mtu unatafuta Mani kaonewa,urais ni kitu kingine kabisa lazima mtu uwe 50/50
Sasa so ndio kuwe na hicho chanzo Cha kueleweka Cha kulipa mishahara ya Aina hiyo boss,Kadri pesa nyingi inapoingia mtaa inasisimua uwekezaji,hatimae mapato pia yanaongezeka
Kwa hiyo wana soka ni watumishi wa umma kweli vyuoni mnakwenda kukua mili tu.Ww zumbukuku huwezi jua hlo,wapo wanasoka kibao Ulaya wanalipwa kwa wiki umeelewa ww fidodido?????
Ukianza kuona mgombea ambaye anaanza kutoa ahadi hewa kama za Lissu ujue ameshaanza kuona mziki wa uchaguzi ni mzito kwake hivyo anatafuta urahisi wa kupata kura angalu afikishe hata 20% ya kura zote.Kuna MTU ana roho mbaya kama huyo kilema wenu, mnafiki kichz, eti ni huyo Huyo na lema walimkataa lowasa kwa hasira alafu wakaja kumsafisha wenyewe tena
Aache uwongo,Kwanza,uchumi wa ulaya unaruhusu mfumo huo wa mishahara,pili,hana uwezo wa kulipa mishahara Mara mbili kwa makusanyo ya trillioni moja na nusu,au mbili,haiwezekani,pili,atuambi msimamo wake kuhusu madini,na swala la ushoga.
Ww zumbukuku huwezi jua hlo,wapo wanasoka kibao Ulaya wanalipwa kwa wiki umeelewa ww fidodido?????
Madaktari tunaeenda na lissu..walimu mtuunge mkono
inawezekana kabisa mkuu wafanyakazi tz kwani idadi yao ni ngapi? alafu haiwezekani mwalim alipwe laki nne kama mtumishi alafu yupo mtumishi mwingine alipwe ml 5,6 na kuendelea kisa katibu mkuu wa wizara hakuna na nakataa eti kwa kisa watu watadumbukia kwenye umaskini , hakuna watu wapige kazi na walipwe vizuri maana ndo waleta maendeleo na ndo wanao yasimamiahapa ndipo jamaa anazidi kuonekana chizi anaehitaji msaada wa haraka, we unadouble mishahara wa watu si watu watadumbukia kwenye umaskini ambao ndo unakua ule wa zimbabwe, wanasiasa wengine bana ni shida juu ya matatizo wacha amalize siasa zake uchwara arudi belgium
mkuu ni mipango tu hakuna kinachoshidikana mfano serikali ikijipanga vizuri kwenye bahari ya indi tu huko kuna utajiri wa kutosha wa kuweza fanya wafanyakazi wetu kuishi maisha kama ya pepon na je tz kuna vyanzo vingapi vya kuingiza mpesha mpaka tuseme haiwezekaniLISSU BWANA, ANAFURAHISHA SANA, MISHAHARA MARA 2 YA SASA? NA HAO WABUNGE WAKE ATAWALIPAJE? MWALIMU ANAYECHUKUA MIA 7 APEWE 1400, JE NA YULE ANAYELIPWA MILIONI 7 ATAPEWA 14?
Bila hata ya kwenda ulaya kupata hizo taarifa sio lazima ufike huko. umri wako tafadhari?Ulaya gani huko watu wanalipwa kwa wiki? Huyu jamaa kukaa ulaya kwa miaka mitatu tu kama mgonjwa ndio anajiona anaijua Ulaya vizuri, ha ha ha.
Kwani wakulima wamesaidiwa nini? Unadhani mtumishi wa umma ana thamani kuliko mkulima?Nyie mnaodai kuijua mmesaidia nini watumishi wa umma?
Hongera Sana!Pia chadema wanaenda kuandaa katiba mpya ambayo italeta utawala wa kanda providence kama ilivyokuwa kenya South Africa ulaya America ambapo watatawala magavana wa kuchaguliwa, vyeo vya wakuu wa mikoa vitafutwa kutakuwa na meya wa kuchaguliwa, Taifa litaenda kubadilka kwenda na wakati
Wanasiasa waongo sana, ndio tofauti iliyopo kati ya sayansi na sanaa.Ulaya gani huko watu wanalipwa kwa wiki? Huyu jamaa kukaa ulaya kwa miaka mitatu tu kama mgonjwa ndio anajiona anaijua Ulaya vizuri, ha ha ha.