Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

Kamanda mwambie atueleze vyanzo vya mapato vya kulipa mishahara dabo hahahaha
Kuwaongoza nyumbu ni jambo rahisi sana hahahahha
FB_IMG_1598537902055.jpg
 
Badala ya kuelezea mipango yake kwamba hiyo pesa ataipata kutoka vyanzo vipi vya mapato, anaongelea kutumia!
Na nyinyi mnashangilia!
Kweli kuongoza chadema ni raha
Magu anapata wapi pesa za kujenga hiyo miundombinu yoteee ....!!! Uwe na akili japo kidogo tuu.
 
Mbona kipindi cha kikwete ilikuwepo kodi rafiki lakini hakuna ambaye alikuwa anapeleka mwenyewe mpaka wafuatwe,duniani kote kodi ulipwa kwa shinikizo ndio maana ulaya hata ukinunua kitu kidogo lazima ulipe kodi kupitia mifumo ya kielektronik ambayo ni ngumu kujua kama unakatwa kodi kama yalivyo mafuta apa tz,sasa mtu unaropoka tu mishahara ya leo kwa wafanyakazi wote ukilipa mara 2 maana yake kwamba itaitaji tillioni 1.4,hapo bado uendeshaji wa shughuli za kila siku na miladi ya maendeleo pia kumbuka kuwa katika ahadi zake nyingi hazitekelezeki yeye anaongea tu hajui urais si uwakili wa kutetea mtu hata kama ni mwizi au uanaharakati ambao mtu unatafuta Mani kaonewa,urais ni kitu kingine kabisa lazima mtu uwe 50/50

..Tz hii kila kitu hakiwezekani. WHY?

..Yeye katoa changamoto watumishi wa serikali walipwe vizuri.

..sasa ni jukumu letu kama nchi kutafuta njia za kutimiza lengo hilo, siyo kujikunyata na kukata tamaa eti haiwezekani.

..kwani nchi na serikali zinazolipa vizuri, na kwa wakati, watumishi wa umma zina, kitu gani zaidi yetu waTanzania?
 
Kadri pesa nyingi inapoingia mtaa inasisimua uwekezaji,hatimae mapato pia yanaongezeka
Sasa so ndio kuwe na hicho chanzo Cha kueleweka Cha kulipa mishahara ya Aina hiyo boss,

Au unafikiri Marais wote waliopita na aliyepo hawataki kufanya hivyo??

Ahadi nyingine huwa zinaishia hewani tu utekelezaji wake ni mgumu.
 
Kuna MTU ana roho mbaya kama huyo kilema wenu, mnafiki kichz, eti ni huyo Huyo na lema walimkataa lowasa kwa hasira alafu wakaja kumsafisha wenyewe tena
Ukianza kuona mgombea ambaye anaanza kutoa ahadi hewa kama za Lissu ujue ameshaanza kuona mziki wa uchaguzi ni mzito kwake hivyo anatafuta urahisi wa kupata kura angalu afikishe hata 20% ya kura zote.
 
Aache uwongo,Kwanza,uchumi wa ulaya unaruhusu mfumo huo wa mishahara,pili,hana uwezo wa kulipa mishahara Mara mbili kwa makusanyo ya trillioni moja na nusu,au mbili,haiwezekani,pili,atuambi msimamo wake kuhusu madini,na swala la ushoga.

..inawezekana.

..anaweza kulipa baadhi ya mishahara kila wiki; kila baada ya wiki mbili; wenye mishahara minono kila mwezi.

..tuache kujifunga kiakili.
 
Hatuwaungi mkono.atueleze kwanza hvyo vyanzo vya mapato anavitoa wapi.pia mfanyakazi wake wa ndani na mlinzi getini anawalipa sh ngapi.kama mfanyakazi wa ndani anamlipa laki tano hapo sawa tutaenda nae
Madaktari tunaeenda na lissu..walimu mtuunge mkono
 
hapa ndipo jamaa anazidi kuonekana chizi anaehitaji msaada wa haraka, we unadouble mishahara wa watu si watu watadumbukia kwenye umaskini ambao ndo unakua ule wa zimbabwe, wanasiasa wengine bana ni shida juu ya matatizo wacha amalize siasa zake uchwara arudi belgium
inawezekana kabisa mkuu wafanyakazi tz kwani idadi yao ni ngapi? alafu haiwezekani mwalim alipwe laki nne kama mtumishi alafu yupo mtumishi mwingine alipwe ml 5,6 na kuendelea kisa katibu mkuu wa wizara hakuna na nakataa eti kwa kisa watu watadumbukia kwenye umaskini , hakuna watu wapige kazi na walipwe vizuri maana ndo waleta maendeleo na ndo wanao yasimamia
 
LISSU BWANA, ANAFURAHISHA SANA, MISHAHARA MARA 2 YA SASA? NA HAO WABUNGE WAKE ATAWALIPAJE? MWALIMU ANAYECHUKUA MIA 7 APEWE 1400, JE NA YULE ANAYELIPWA MILIONI 7 ATAPEWA 14?
mkuu ni mipango tu hakuna kinachoshidikana mfano serikali ikijipanga vizuri kwenye bahari ya indi tu huko kuna utajiri wa kutosha wa kuweza fanya wafanyakazi wetu kuishi maisha kama ya pepon na je tz kuna vyanzo vingapi vya kuingiza mpesha mpaka tuseme haiwezekani
 
Ulaya gani huko watu wanalipwa kwa wiki? Huyu jamaa kukaa ulaya kwa miaka mitatu tu kama mgonjwa ndio anajiona anaijua Ulaya vizuri, ha ha ha.
Bila hata ya kwenda ulaya kupata hizo taarifa sio lazima ufike huko. umri wako tafadhari?
 
Pia chadema wanaenda kuandaa katiba mpya ambayo italeta utawala wa kanda providence kama ilivyokuwa kenya South Africa ulaya America ambapo watatawala magavana wa kuchaguliwa, vyeo vya wakuu wa mikoa vitafutwa kutakuwa na meya wa kuchaguliwa, Taifa litaenda kubadilka kwenda na wakati
Hongera Sana!
 
Ulaya gani huko watu wanalipwa kwa wiki? Huyu jamaa kukaa ulaya kwa miaka mitatu tu kama mgonjwa ndio anajiona anaijua Ulaya vizuri, ha ha ha.
Wanasiasa waongo sana, ndio tofauti iliyopo kati ya sayansi na sanaa.
Sanaa inataka uongo ndio maana mtoto wa kike umpate lazima umdanganye, mwambie ukweli uone kama utapata.
Watanzania wa sasa si kama wa 2015/2010/2005 etc
Mh. Rais Magufuli ni msema kweli na anapenda kusimama kwenye ukweli na anasimamia misimamo yake kama mwanaume.
Tulizoea kudanganywa sana myaka hyo....
Tanzania atujafikia hatua ya kuishi kama ulaya ila tunaweza kuifikia ulaya na tukaishi kama ulaya baada ya utekelezaji wa yale yote anayoyafanya Mh. Rais.
 
Back
Top Bottom