TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 4,321
- 7,501
Hakuna ajabu zaid nimempa CredibilityCha ajabu nini miaka nenda rudi anekuwa chini ya Mbowe ambaye ni form six division zero
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ajabu zaid nimempa CredibilityCha ajabu nini miaka nenda rudi anekuwa chini ya Mbowe ambaye ni form six division zero
Chadema , wapo na siasa za kisomi sana aisee, hii imeenda mbali sanaView attachment 3259498
Mh. Tundu Lissu amealikwa Chuo Kikuu cha Makerere kutoa mhadhara wa umma juu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na ushawishi wake katika siasa na katiba za Afrika Mashariki.
Tega sikio
Ataongea nini, Yeye asubiri kuwapisha wanafunzi kwenye kiti tuMama,mama,mama ataalikwa lini kwenye issues kama hizi?
Ni Ngumu sana Kupambana na Mtu aliyebarikiwaView attachment 3259498
Mh. Tundu Lissu amealikwa Chuo Kikuu cha Makerere kutoa mhadhara wa umma juu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na ushawishi wake katika siasa na katiba za Afrika Mashariki.
Tega sikio
View: https://www.youtube.com/live/01T-W4sdMdY?si=WIfX1Szs6aEU0KbW
Kwa ambaye angependa kufatilia huo mhadhara nimetuma hiyo link hapo juu
Nami pia nafatilia ili nipate cha kujifunzaTuko Live Mpaka sasa
View attachment 3259498