Pre GE2025 Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huu ndiyo usomi tunaoutaka, mtu anajitambua na kuitetea taaluma yake
 
Mlivokua hmapendi haki hata mda na huyo kiongozi wa chadema alieambatana nae hamtaki kumjua
Wajinga wataniponda ila mkiwaza vizur mtaona kuna shida hapo
Cha msingi alipelekewa hongo asigombee......mwaka huu kitawaka.

Nguvu ya Lissu iko Wazi 2025 Patachimbika.

Kwanini wanahangaika kumhonga? Ina maana wanaamini Lissu anaweza kushinda kwa Kura?

Time will tell
 
Kwa mujibu wake, yeye alizikataa pesa hizo na kumwambia aende akamwambie Rais amlipe stahiki zake kwa mujibu wa sheria na siyo kumhonga, na alimpatia nyaraka zote zinazohusiana na madai yake.
Mbunge Lusinde aliwahi kuwambia Wabunge wenzake kwenye kikao cha namna ya kumshawishi Lissu ajiunge ccm.

Kwa maneno ya Lusinde anasema niliwambia Lissu pamoja na kuwa tunatofautiana kiitikadi ila nakubali ni Mtu Mwadilifu, hahongeki na kwenye kikundi chetu hapa hakuna wakumsogelea.

Lusinde anamaliza kwa kusema kikao kile kiliisha bila kufikia Mwafaka. Hakuna mjumbe aliyejitokeza kumface Lissu
 
Tundu hakuhongwa na hakukuwa na fedha za kumhonga. Hizo ni drama tu. Tundu alivyo na shida ya hela kwa maisha anayoishi kwa kuunga unga huko Belgium asingeweza kukataa hela kama zingekuwapo.
 
Tundu hakuhongwa na hakukuwa na fedha za kumhonga. Hizo ni drama tu. Tundu alivyo na shida ya hela kwa maisha anayoishi kwa kuunga unga huko Belgium asingeweza kukataa hela kama zingekuwapo.

..je, hakuna waliohongwa na Abduli?

..kwanini anatajwa sana huyo dogo?

..anafanya shughuli, au biashara, gani?
 
..je, hakuna waliohongwa na Abduli?

..kwanini anatajwa sana huyo dogo?

..anafanya shughuli, au biashara, gani?
Kwanini Tundu asitaje waliohongwa? You can't make an informed conclusion by pieces of information!! Ametuacha na maswali mengi kuliko majibu
 
Leta voice clip ya Lusinde
 
Kwanini Tundu asitaje waliohongwa? You can't make an informed conclusion by pieces of information!! Ametuacha na maswali mengi kuliko majibu

..hata Abduli anaweza kutaja aliowahonga ili tuwazomee.

..tuhuma zote hizi kwanini Abduli hatafutwi ili aeleze upande wake?

..Abduli anatoa wapi viroba vya pesa za kuhonga wapinzani?
 
Mbona amesema kila kitu? Aliambiwa kuwa asimseme vibaya mama wala sirikali yake. Ilikuwa hongo ya kumfunga mdomo.
 
Chai.....

Ushahidi uko wapi?
 
hongo huwa inasababu, daktari akjtibu, hakimu ushinde kesi, polisi uachiwe sasa yeye wamhonge kwa lipi? kama aliona ni hongo nayeye ni wakili kwanini hakutoa taarifa takukuru?
[emoji7]
 
Takukuru ipi ? Ya Nchi gani zaidi ya hii credit ya Leo? Perfect timing dunia yote ikisikia? Acha upumbavu.
hongo huwa inasababu, daktari akjtibu, hakimu ushinde kesi, polisi uachiwe sasa yeye wamhonge kwa lipi? kama aliona ni hongo nayeye ni wakili kwanini hakutoa taarifa takukuru?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…