Tundu Lissu, acha kumshambulia Hayati Magufuli

Tundu Lissu, acha kumshambulia Hayati Magufuli

Lissu ni activist material! na sio Political Material

Akipanda jukwaani na kichaa pia kinapanda!

Nilimshangaa kumsikia akisema kuwa kuna hifadhi ya mzungu ina ukubwa wa 6,000,000sq kms.

Sasa wanapanga kumshitaki ili awasafishe.

Hifadhi kubwa 6a wanyama nchini ni Nyerere 50sq kilometers.

Vyanzo vya Lissu sijui huwa anavipata wapi?
Hii ipo kwenye Web site yao wenye Mwiba.Kama kuna makosa basi wajilaumu wenyewe na si mtu mwingine.
 
Alisema ekari milioni 6. Acha kupotosha. Mzungu ajaribu kushtaki aone jinsi atakavyopoteana mahakamani.
Huyo voicer hana akili na kama walivyo CCM wengi ni mpumbavu. Hiyo hesabu kwake ni mzigo wa msumari.

Kwa ufahamisho tu kwake na wajinga wajinga wenzake, eneo la kilomita moja ya mraba ni sawa na ekari 250!

Nyerere national park ina ukubwa wa kilomita za mraba 30,000. Ukubwa huu ni sawa na ekari 7,500,000!

Sijui kwa nini wajinga kama voicer wanaruhusiwa kuanika ujinga wao humu JF!

Mh. Tundu Lissu alitaja ekari na si kilomita za mraba!
 
Ndugu yangu Tundu Lissu, ni hatari kubwa mno kuendelea kumshambulia Hayati Magufuli.

Pamoja na mapungufu machache ya kibinadamu ya Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, asilimia kubwa ya Watanzania walimpenda mno na bado hajatoka mioyoni mwa Watanzania wengi.

Hata hivyo, kuendelea kumshambulia mtu asiyekuwepo inasaidia nini?

Je, hiyo si sawa kabisa na kupambana na kivuli?

Ndugu zangu wa CHADEMA mnafeli wapi nyie?
Magufuli ndio katusababishia yote haya kwa kituwekea bunge la chama kimoja
 
Lissu ni activist material! na sio Political Material

Akipanda jukwaani na kichaa pia kinapanda!

Nilimshangaa kumsikia akisema kuwa kuna hifadhi ya mzungu ina ukubwa wa 6,000,000sq kms.

Sasa wanapanga kumshitaki ili awasafishe.

Hifadhi kubwa 6a wanyama nchini ni Nyerere 50sq kilometers.

Vyanzo vya Lissu sijui huwa anavipata wapi?
Acha kupotosha hii nchi yote ina sq km 947,303. Hizo sq km milioni 6 za kumpa mzungu zinatoka wapi?
 
Daisam said:
Hata hivyo, kuendelea kumshambulia mtu asiyekuwepo inasaidia nini?

Adolf Hitler alikufa zaidi ya miaka 70 iliyopita, sembuse Magufuli aliyekufa juzi.
Waliokuwa wasaidizi wa Hitler bado wanawindwa hadi leo kama wako hai.
Waliokuwa wasaidizi wa Magufuli wanatamba na kazi inaendelea!
Watanzania ni viumbe wa ajabu sijawahi kuona!
 
Eti Hayati, yaani Jiwe unamwita hayati[emoji848] Hapo hapo eti alikuwa na mapungufu madogo na mwisho unamaliza kuwa alipendwa na Watanzania. Kweli nimekosa jina la kukupa kwani uko huru kutumia kichwa chako upendavyo
Nyakati husahaulisha watu bhwana.
 
Pamoja na mapungufu machache ya kibinadamu ya Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, asilimia kubwa ya Watanzania walimpenda mno na bado hajatoka mioyoni mwa Watanzania wengi
Hii hoja ya kitoto sana? Mama Samia Kila siku anamkejeli JPM sasa hao wafuasi wa JPM ndio watamuacha Lissu wampigie kura Mama Samia ambaye anafanya hicho hicho?

Ingekua Ina maana kama Samia angekua team JPM ila kama hao wawili wote ni anti JPM basi Lissu hawezi pata madhara yoyote kumkosoa JPM
 
Mtu yeyote anaemtukana Magufuli kwa sasa tukubaliane lazima ana mtindio wa akili.
Hakuna mtu mwenye akili timamu atapoteza muda kumtukana, lakini kusema jinsi vile alivyo kuwa wakati akiwa hai na kiongozi wa nchi, basi ni muhimu kujua kuwa watu hawataacha kusema abadani! Kumtukana Vs Kumsema jinsi alivyokuwa
 
Ndugu yangu Tundu Lissu, ni hatari kubwa mno kuendelea kumshambulia Hayati Magufuli.

Pamoja na mapungufu machache ya kibinadamu ya Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, asilimia kubwa ya Watanzania walimpenda mno na bado hajatoka mioyoni mwa Watanzania wengi.

Hata hivyo, kuendelea kumshambulia mtu asiyekuwepo inasaidia nini?

Je, hiyo si sawa kabisa na kupambana na kivuli?

Ndugu zangu wa CHADEMA mnafeli wapi nyie?
Lisu ni mjinga na upumbavu
 
Huyo voicer hana akili na kama walivyo CCM wengi ni mpumbavu. Hiyo hesabu kwake ni mzigo wa msumari.

Kwa ufahamisho tu kwake na wajinga wajinga wenzake, eneo la kilomita moja ya mraba ni sawa na ekari 250!

Nyerere national park ina ukubwa wa kilomita za mraba 30,000. Ukubwa huu ni sawa na ekari 7,500,000!

Sijui kwa nini wajinga kama voicer wanaruhusiwa kuanika ujinga wao humu JF!

Mh. Tundu Lissu alitaja ekari na si kilomita za mraba!
Hata kama ni hekari, hakuna hiyo hifadhi yenye ukubwa wa ekari milioni 6 kanda ya ziwa

Hifadhi kubwa mbili Tanzania ni Ruaha na Nyerere ambazo ndio zimezidi ekari milioni 5
 
Hata kama ni hekari, hakuna hiyo hifadhi yenye ukubwa wa ekari milioni 6 kanda ya ziwa
Ekari milioni 6 ni mkoa mzima na kuna mikoa mingi haifikii hata ukubwa huo
Sasa hapa unaongelea hekari au ekari...au hujui hata tofauti yake?
 
Ndugu yangu Tundu Lissu, ni hatari kubwa mno kuendelea kumshambulia Hayati Magufuli.

Pamoja na mapungufu machache ya kibinadamu ya Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, asilimia kubwa ya Watanzania walimpenda mno na bado hajatoka mioyoni mwa Watanzania wengi.

Hata hivyo, kuendelea kumshambulia mtu asiyekuwepo inasaidia nini?

Je, hiyo si sawa kabisa na kupambana na kivuli?

Ndugu zangu wa CHADEMA mnafeli wapi nyie?
Mfuate Chato uongee naye
 
Acres/ekari uloyokuwa ukiizungimzia wewe
Mh. Tundu Lissu aliongelea ekari (acre)
Mleta mada anaongelea kilomita za mraba (square kilometers)
Je mpaka hapo unauona upumbavu uliopo?
 
Naunga mkono hoja, mtu huna sababu kumshambulia mtu anbaye hawezi kujitetea tena nashauri aache kabisa maana huko aliko, alikasirika ni anamshutua tuu YEYE, na mtu anaitwa fasta dakika sifuri!.

Ni kweli, alitenda mema mengi makubwa mazuri kuliko mabaya na maovu yake, na kabla hajatwaliwa alitubu, akasalishwa sala ya toba, akapakwa mafuta ya Krisma, hivyo dhambi zake zote za hapa duniani, zikaondolewa na zikasamehewa na Mungu mwenyewe!.

Saa hizi hivi tunavyozungumza hapa, sii wengi wanajua mahali alipo sasa, sisi wenzenu tuliojaaliwa kujulishwa tunaomba tuwaeleze kupitia Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P

Lilienda motoni, lilishateketea hilo shetani
 
Back
Top Bottom