Tundu Lissu, acha kumshambulia Hayati Magufuli

Tundu Lissu, acha kumshambulia Hayati Magufuli

Mh. Tundu Lissu aliongelea ekari (acre)
Mleta mada anaongelea kilomita za mraba (square kilometers)
Je mpaka hapo unauona upumbavu uliopo?
Ndio maana nikasema hata hivyo, bado ekari milioni 6 ni eneo kubwa sana, na hakuna hifadhi yenye eneo hilo ukitoa Nyerere
 
Ndugu yangu Tundu Lissu, ni hatari kubwa mno kuendelea kumshambulia Hayati Magufuli.

Pamoja na mapungufu machache ya kibinadamu ya Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, asilimia kubwa ya Watanzania walimpenda mno na bado hajatoka mioyoni mwa Watanzania wengi.

Hata hivyo, kuendelea kumshambulia mtu asiyekuwepo inasaidia nini?

Je, hiyo si sawa kabisa na kupambana na kivuli?

Ndugu zangu wa CHADEMA mnafeli wapi nyie?
Kwa kuwa ni malaika au siyo? Pumbavu
 
Hakika Kwa kiburi chake acha aendelee kuongea ujinga wake atawaponza chadema Kanda ya ziwa

Heshima ya magufuli Hadi Sasa ipo juu naamin ni wengi wanakumbuka Sana utendaji kazi wake
Vipi aliyesema kuwa awamu iliopita inayomuhusisha Magufuli walificha pesa nyingi sana China, naye anaheshima ya juu
kanda ya ziwa kama Magufuli?.
 
Lissu ni activist material! na sio Political Material

Akipanda jukwaani na kichaa pia kinapanda!

Nilimshangaa kumsikia akisema kuwa kuna hifadhi ya mzungu ina ukubwa wa 6,000,000sq kms.

Sasa wanapanga kumshitaki ili awasafishe.

Hifadhi kubwa 6a wanyama nchini ni Nyerere 50sq kilometers.

Vyanzo vya Lissu sijui huwa anavipata wapi?
Una akili ndogo sana... hizo acre za huyo tajiri amepewe kwa kisingizio cha uhifadhi. Na ni chanzo cha migogoro mingi isiyoisha pembezoni mwa hifadhi ya SENAPA na NCA!
Rudi kamsikilize tena!
Alafu acres milioni 6 zimetajwa vile vile na jarida la Forbes (Dan Friedkin). Sasa kosa la TL liko wapi au kuyasema kwa Kiswahili??
 
Ni kukosa Sera na maarifa tu.
Jitu zima linakimbizana na kaburi.
 
Unasemaje wewe? Yaani jpm eti alikuwa na mapungufu machache!! We una akili kweli. Kwanza alizuia mikutano ya siasa na Leo usingemuona lisu kwenye medani za siasa Wala mbowe na usingekua chochote kuhusu serikali. Vyombo vya habari vilizimwa kama taa.
Ndugu yangu Tundu Lissu, ni hatari kubwa mno kuendelea kumshambulia Hayati Magufuli.

Pamoja na mapungufu machache ya kibinadamu ya Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, asilimia kubwa ya Watanzania walimpenda mno na bado hajatoka mioyoni mwa Watanzania wengi.

Hata hivyo, kuendelea kumshambulia mtu asiyekuwepo inasaidia nini?

Je, hiyo si sawa kabisa na kupambana na kivuli?

Ndugu zangu wa CHADEMA mnafeli wapi nyie?
 
Kuja kushtuka 2025 hii hapa
Halafu atategemea ashinde.
 
Ndugu yangu Tundu Lissu, ni hatari kubwa mno kuendelea kumshambulia Hayati Magufuli.

Pamoja na mapungufu machache ya kibinadamu ya Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, asilimia kubwa ya Watanzania walimpenda mno na bado hajatoka mioyoni mwa Watanzania wengi.

Hata hivyo, kuendelea kumshambulia mtu asiyekuwepo inasaidia nini?

Je, hiyo si sawa kabisa na kupambana na kivuli?

Ndugu zangu wa CHADEMA mnafeli wapi nyie?
Wengine mnaongea kirahis rahis tu, hebu vaa uhusika wa LISSU then uchapwe risas zile kama unaua mamba. Then haitakiw uagwe ni ukimbizwe fasta kijijin uzikwe haraka!! Hivi ni chuki na unyama gan kama huo? Unajua ingekua heri kama baada ya tukio kibinadam angeamua kumhudumia kwa gharama yoyote ila hakutaka na kibaya zaid alipiga marufuku ya harakat za kuonyesha kumuombea apone!! Msichukulie poa nyie..!!
 
Ndugu yangu Tundu Lissu, ni hatari kubwa mno kuendelea kumshambulia Hayati Magufuli.

Pamoja na mapungufu machache ya kibinadamu ya Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, asilimia kubwa ya Watanzania walimpenda mno na bado hajatoka mioyoni mwa Watanzania wengi.

Hata hivyo, kuendelea kumshambulia mtu asiyekuwepo inasaidia nini?

Je, hiyo si sawa kabisa na kupambana na kivuli?

Ndugu zangu wa CHADEMA mnafeli wapi nyie?
Kuna mahali nilishamwambia yule ripota wao kuhusu hatari ya kumshambulia hayati JPM kiukweli japo Magu hatuko naye ni ukweli usiopingika kwa sasa ndiye kiongozi wa nchi anayekumbukwa sana na.pia ni kama SI unit ya uongozi kwani aligusa sana maisha ya watu.

Na kampeni za 2025 zitaangalia ni nani anamuunga mkono Magu au ni nani mwenye element za maamuzi ya aina ya Anko. Sijajua wanafanya tathimini gani chadema zonazowaonyesha kwa kumnanga marehemu ndiyo wanapata popularity. Angalau mwenyekiti Mbowe ni kama amelinusa hilo hamsemi sana.

Wafike hatua waheshimu pia maoni ya wananchi ni kweli sisi hatuongei majukwaani lakini pia tunapata nafasi za kutembea maeneo mbalimbali ya nchi hii na tunaiona reaction ya watu juu ya uongozi upi uliwakonga mioyo.

Hatusemi kuwa hakufanya mabaya sasa tutayasema mpaka lini na hana muda wa kuyajibu lakini pia mazuri ni mengi mno kiasi kwamba hakuna kitu kipya kinafanyika kwa sasa tofauti na miradi yake mikubwa aliyokuwa akiifanya ambayo nayo walioko madarakani wameshindwa kuisimamiaa kwa viwango vyake.
Wako busy kushindana kutapanya rasilimali za nchi.

Jeshi letu nalo au vyombo vyetu vya usalama wanaangalia maslahi yao huku taifa likibakizwa mifupa mitupu wamesahau kuwa viapo vyao ni juu ya kulinda rasilimali za taifa ili vije viwe msaada mkubwa kwa Tanzania ijayo. Hata kama mtajilimbikizia mali kiasi gani lazima mtakufa tu angalieni maslahi mapana ya taifa.
 
Lissu ni activist material! na sio Political Material

Akipanda jukwaani na kichaa pia kinapanda!

Nilimshangaa kumsikia akisema kuwa kuna hifadhi ya mzungu ina ukubwa wa 6,000,000sq kms.

Sasa wanapanga kumshitaki ili awasafishe.

Hifadhi kubwa 6a wanyama nchini ni Nyerere 50sq kilometers.

Vyanzo vya Lissu sijui huwa anavipata wapi?
Acha upotoshaji wa makusudi
 
Weka aliyosema ambayo kwako ni kumshambulia
 
Hivi:-
-"asilimia kubwa ya Watanzania" umeipataje na kwa hesabu ipi?
-marehemu ameumia alivyosemwa/ukweli ulivyobainishwa?
-marehemu hayupo,panda jukwaani umjibie maana unaumwa hadi kiuno!
-una uhakika kwamba CDM ni ndugu zako haohao waliopata misukosuko wakati akiwa hai?
Kimsingi hujaielewa hoja,hoja hapa ni kumtanabahisha Lisu kuwa, 1.Magufuli "alikuwa" kwa sasa sio adui yake aachane nae apambane na waliopo.
2. Kutokana na Hali ya maisha inavyo enda watu wamemkumbuka mwenda zake kuwa "alikuwa anawajali wananchi wa kawaida" hii ni Imani mioyoni mwa watu hakuna anaeweza kuifuta.
Huu uholela uliopo sasa wa mpata mpatae ni wachache Sana mnaoupenda watu wanalia huku matopeni st.
Kwa sababu hizo Lisu anapaswa kuchagua adui "Alie hai au aliyekufa" tutake tusitake MAGUFULI ni taasisi Kama unavyoweza kumtaja Nyerere, Wana ufuasi endelevu mioyoni mwa watu.
Kama ambavyo Magufuli alishindwa kuiua CHADEMA licha ya maguvu yote aliyotumia! Sababu ni moja tu CHADEMA ni taasisi (Imani) inayoishi mioyoni mwa watu.
Ni watu wawili tu waliofanikiwa kujijenga na kuwa Imani ni Mwalimu Nyerere na Magufuli, Kama huamini waulize ni Nani ameweza kumfuta Magufuli mioyoni mwa watu?
Kama chama chake kimeshindwa yeye ataweza?
Hakuna adui wa kudumu, anapaswa kumtumia Kama ngazi na si vinginevyo atafanikiwa.
 
Lissu ni activist material! na sio Political Material

Akipanda jukwaani na kichaa pia kinapanda!

Nilimshangaa kumsikia akisema kuwa kuna hifadhi ya mzungu ina ukubwa wa 6,000,000sq kms.

Sasa wanapanga kumshitaki ili awasafishe.

Hifadhi kubwa 6a wanyama nchini ni Nyerere 50sq kilometers.

Vyanzo vya Lissu sijui huwa anavipata wapi?
Anavitoa hapa: Dan Friedkin - Wikipedia

mpaka sasa wanasema hivi: "The family also leases 3.2 million acres of protected wildlife areas across Tanzania for conservation". kwa mujibu wa
  1. "Bloomberg Billionaires Index". Bloomberg. August 14, 2023. Retrieved August 15, 2023.
 
Alafu acres milioni 6 zimetajwa vile vile na jarida la Forbes (Dan Friedkin). Sasa kosa la TL liko wapi au kuyasema kwa Kiswahili??
Friedkin Conservation Fund

His Friedkin Conservation Fund (FCF) provides assistance to the Tanzanian government in preserving its protected areas, helps uplift rural communities, and conducts wildlife monitoring and research.

Friedkin Conservation Trust: working to preserve more than 6 million acres in Tanzania.
 
Ndugu yangu Tundu Lissu, ni hatari kubwa mno kuendelea kumshambulia Hayati Magufuli.

Pamoja na mapungufu machache ya kibinadamu ya Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, asilimia kubwa ya Watanzania walimpenda mno na bado hajatoka mioyoni mwa Watanzania wengi.

Hata hivyo, kuendelea kumshambulia mtu asiyekuwepo inasaidia nini?

Je, hiyo si sawa kabisa na kupambana na kivuli?

Ndugu zangu wa CHADEMA mnafeli wapi nyie?
huwezi kuzuwia watu wasimseme kwa mabaya au mazuri, kumbuka alikuwa ni kiongozi mkuu kuna mazuri na mabaya alifanya katika utawala wake
 
Friedkin Conservation Fund

His Friedkin Conservation Fund (FCF) provides assistance to the Tanzanian government in preserving its protected areas, helps uplift rural communities, and conducts wildlife monitoring and research.

Friedkin Conservation Trust: working to preserve more than 6 million acres in Tanzania.
Tena kwa Kiswahili ni zaidi ya acres milioni 6!!
Na ndani ya hizo acres jamaa ana hoteli zake za kifahari!
Hii imeenda!
 
Hivi Jiwe huo u Dkt huwa mnampa na wengine mnawita shujaa wenu hizo akili zenu huwa ziko sawa kweli???
Ni mwendawazimu tu na mpumbaf ndio anaweza kukejeli kazi iliyofanywa na huyu mzee.
Ikiwa ,
1. kuvunja mikataba ya kifisadi ya madini na Bandari ambayo tunaona sasa ikipigiwa debe.

2. Kujenga bwawa la umeme pamoja na kupigwa vita ikiwemo kunyimwa fedha,

3. Kuzuia mifumuko ya bei za bidhaa hovyo kama chakula,mafuta n.k

4. Kuzuia utoroshwaji madini ikiwemo kuanzisha masoko ya madini nchi nzima.

5. Kurudisha nidhamu jwa watumishi, sasa tunaambiwa 45% ya ma Dc hakuna wanalolifanya.

Kama haya na mengine mengi aliyoyafanya sio ya kishujaa,mbona watangulizi wake walishindwa? , hata mama ameshafeli kwwnye mambo mengi tu, ni lipi basi kwako angelifanya lingekuwa la kishujaa?
 
Huyo kumtukana Magufuli huwa anatumwa na waliompa uhuru fake wa kufanya mikutano ya siasa. Siku Lisu akianza kuishambulia CCM ambayo ndio mpinzani mkuu wao yeye kuingia ikulu utaona kama hajaanza kusumbuliwa na mamlaka. Lisu na genge lake hawana nia ya kuingia ikulu, wao wapo kimkakati kuonesha kuna upinzani nchini ili bi Hangaya aendelee kuaminiwa na JUMUIYA za kimataifa .Wangekua na lengo la kushika dora wasingekua wanapambana na Magufuli ambaye bado ana wafuasi wa kutosha japo ni Hayati. Hii nchi CCM itatawala milele labda kije kizazi kinachojitambua sio hiki cha kujipendekeza na uchawa
 
Lissu ni activist material! na sio Political Material

Akipanda jukwaani na kichaa pia kinapanda!

Nilimshangaa kumsikia akisema kuwa kuna hifadhi ya mzungu ina ukubwa wa 6,000,000sq kms.

Sasa wanapanga kumshitaki ili awasafishe.

Hifadhi kubwa 6a wanyama nchini ni Nyerere 50sq kilometers.

Vyanzo vya Lissu sijui huwa anavipata wapi?
Marisasi yote yale. Bila shaka dishi lilishayumba. Hata huwezi kujua anapambania nini. Yeye ni kupayuka tu!
 
Back
Top Bottom