Kwa nini wakamatwe?... Waliomshambulia walishakamtwa?
Huyu pungu kweli! Mdomo wake huo unaobwabwaja na kutusi kila mtu hautoshi kutoa ushauri kwa mama eeh🤔!? Dereva waliomficha na Mbowe wake ndio awashauri wajitokeze na kutajana na walipane wenyewe kwa wenyewe! Na kama nchi kwa yote ya hovyo aliyoipakazia nchi yetu na JPM wetu pia tutahitaji 'compensation'!Mwanasheria nguli amekuwa mbogo na kutaka watu kutozua uongo kuwa hamkosoi mama Samia kuwa anakubaliana nae. Bali ametaka watu wamshauri ili waliompiga risasi wakamatwe na kuchukuliwa hatua.
Pia ndugu Lissu amedai kuwa kuliko kuzua uongo bora wamshauri mama Samia ili yeye alipwe haki zake alizoporwa na utawala CCM chini ya hayati JPM.
Lissu amekuwa mbogo baada ya watu wasio wema kuzua kuwa anamsifia mama Samia kwa ukarimu alionyesha baadz ya kumtembelea hospitalini huko Nairobi Kenya.
Wewe na wapumbavu wenzio ndo mmefake tweet ya Lissu Jana halafu unajileta kimbelembele hapa!Aache kelele zake zisizo na tija. Anachosha.
Mama yupo busy na mambo ya msingi... Kiki za risasi zishapitwa na wakati tafuteni mpya...Mama aunde Tume Huru ya Uchunguzi ikate mzizi wa fitina kuhusu nani alitaka kumuua Tundu Lissu.
Kwani amefufuka?Kiki ishaisha, nyani tulichekelea mkulima kufa sasa sjui tutakula wapi
Kiki ishaisha, nyani tulichekelea mkulima kufa sasa sjui tutakula wapi
Mama yupo busy na mambo ya msingi... Kiki za risasi zishapitwa na wakati tafuteni mpya.
Nipo sawa kabisa kabisa.Mkuu upo sawa?
Acha ujinga au ni wewe ndie uliehusika katika kumshambulia kwa risasi Mhe Tundu Lissu?Kwa nini wakamatwe?